Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Kweli mkuu hasa mimi nilikuwa na wazo la serikali moja kwa vile moja imeshindikana basi mbili zinatosha.Naunga mkono hoja ya kuwa na serikali mbili a , moja ya Tanganyika na ya pili ni ya Zanzibar
Dah! Naona wewe umevurugwa kama kaka yako Lema. Hujui kuwa mchakato wa katiba sasa upo kwenye hatua ya Bunge la Katiba?Watz gani wakati alishatoa maoni yao kwa tume? Na jua huu sio wakati wa kupokea maoni mapya , tume imeshakamilisha kazi ya kupokea maoni sasa haya ya NEC sijui atapelekwa wapi ili yasikilizwe....
wewe wasema, namaanisha mfumo wa serikali uliopo sasa!!ya tanganyika na zanzibar sio ? Ama unazungumzia mbili kwa maana gani? By the way wewe ndio yule mwalimu uliyeshindwa kuitetea paper yako finland baada ya plagiarism?
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Kwa hiyo unataka muungano ufe? Ila taratibu dawa inawaingia maana mmeshaachana na wimbo wa serikali tatu. Mtaipenda tu ccmSerikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya Zanzibar na ile ya Tanganyika!
Serikali tatu ndiyo mdudu gani unatuletea hatutaki serikali za majaribio ulishawahi kuona wapi duniani muungano wa serikali tatu kama siyo mambo ya kihuni.Serikali tatu, mgombea binafsi haviepukiki!
Chama Cha Mwabepande tumieni akili badala ya masabur
Hiyo ya tatu ya Muungano itafufuka miaka ijayo ,ila kwa sasa mbili zinatosha ya Tanganyika na Zanzibar full stop CCM hoye!Kweli mkuu hasa mimi nilikuwa na wazo la serikali moja kwa vile moja imeshindikana basi mbili zinatosha.
Siku tutakapoingia barabarani ndio utaelewa ni nini namanisha.Mbona kila siku tupo barabarani wewe unataka barabara ipi au kwa mtei zipo zingine unamaanisha.
Naunga mkono hoja ya kuwa na serikali mbili a , moja ya Tanganyika na ya pili ni ya Zanzibar
Hahahahahaaaa! Mnajichkesha sananaanza kuona vurugu mapema....
lakini....ni UJUHA kuendelea kung'ang'a na SERIKALI 2 ...sababu ya uwingi ndani ya BUNGE ....
kwa hili mtaona rangi halisi ya CCM zanzibar.. muda rafiki...
Mkuu, usijali sana. Wote hawa wataanza kuimba wimbo wa ccmNA mUUUNGANO HAUPO TENA KWA SERIKALI ZAKO HIZO.
Hizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,naanza kuona vurugu mapema....
lakini....ni UJUHA kuendelea kung'ang'a na SERIKALI 2 ...sababu ya uwingi ndani ya BUNGE ....
kwa hili mtaona rangi halisi ya CCM zanzibar.. muda rafiki...
Mkuu, machadema menginhayajui hata huo mfumo wa serikali tatu utakavyofanya kaziSerikali tatu ndiyo mdudu gani unatuletea hatutaki serikali za majaribio ulishawahi kuona wapi duniani muungano wa serikali tatu kama siyo mambo ya kihuni.
Haufi kama wananchi bado wanataka kuendelea kuungana. Kwa nini tuwalazimishe?Kwa hiyo unataka muungano ufe? Ila taratibu dawa inawaingia maana mmeshaachana na wimbo wa serikali tatu. Mtaipenda tu ccm
Tehetehetehe. Mkuu, hawa ni wehu tu. gongo zinawaleweshaHizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,
kwanza leo hakuna NEC ya ccm huyu mburula sijui hiyo nec ya machame au kibosho.
Hii kali! Muungano tena basi. Serikali hii ya CCM ndio iliyoshindwa kuilinda na kuitetea Katiba ya sasa ya JMT pale Zanzibar ya Amani Karume ilipoamua kuivuruga.Serikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya Zanzibar na ile ya Tanganyika!
Wananchi wanataka serikali mbili. Ila vibaraka wa wazungu wakiongozwa na dr slaa ndo wanataka kulazimisha serikali tatuHaufi kama wananchi bado wanataka kuendelea kuungana. Kwa nini tuwalazimishe?
Hapa barabarani mkoani simiyu naona watu kibao wako barabarani wengine wauza ndizi,wengine wamachinga na wengine wapo kwenye magari wewe unaongelea barabara zipi?.hujitambuiSiku tutakapoingia barabarani ndio utaelewa ni nini namanisha.