- Thread starter
- #41
Mwenyekiti wa kudumu ajisahihishe kwanza
Umelielewa swali la msingi?
"Kwani wewe ni nani unayekuja na masharti yoyote kwenye jitihada zozote za yeyote kudai katiba kwa mujibu wa sheria?"
Majibu yako tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa kudumu ajisahihishe kwanza
Ndio napungua uzito kwasababu, sina imani naye atabadili gear wakati wowote
Tumalize hili la Mwenyekiti wa kudumu yeye ni nani haswaa kuichimba nchi mikwara?Nimekuelewa swali la msingi:
"Kwani wewe ni nani unayekuja na masharti yoyote kwenye jitihada zozote za yeyote kudai katiba kwa mujibu wa sheria?"
Majibu yako tafadhali.
Tumalize hili la Mwenyekiti wa kudumu yeye ni nani haswaa kuichimba nchi mikwara?
Aachie ngazi wengine waongoze.
Mwenyekiti wa kudumu aache kutia mikwara.Umesoma uzi lakini:
"Yasiyosemeka kuhusiana na katiba mpya." Nayo ni haya hapa:
1. Wadai katiba si watu wa shari
2. Wadai katiba wapinzani watasusa uchaguzi.
Hivyo CCM itasalia madarakani.
Mwenyekiti unayemwongelea unamsoma wapi? Kama humwoni jitendee haki ukaanzishe uzi wako ukituvutia tutakuja kuchangia.
Mwenyekiti wa kudumu aache kutia mikwara.
Yaan wanaolilia katiba ni wanasiasa na sio wananchi katiba iliyopo inatosha sana wenye hoja za msingi kwanini katiba sasa wazitaje na zisiwe za kisiasa please kama transition of power imefanyika in peaceful means kiasi hiki katika wakati mgumu na mzito kama taifa kuwahi kutokea
Nguvu ya raisi ibaki hivyo hivyo mataifa maskini kama haya yanahitaji mtu mwenye mamlaka makubwa ya kufanya jambo watu wetu bado wanaelimu ndogo kufanya maamuzi wengi hufanya maamuzi kwa mihemko ya kisiasa na kijamii
Wenzio wako hapa:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana. Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa kutofautiana tu pana watu wamekufa, wamepotezwa, wamejeruhiwa, wamedhulumiwa, na mengi ya namna hiyo...www.jamiiforums.com
Mnahangaika kumfarakanisha Mama na mtu yeyote kwa lolote hata kama ni la kijinga.
Safari ni tofauti. Kwa sababu tunawajua wote.
Mwenyekiti wa kudumu aachie ngazi
Hoja ni Mwenyekiti wa kudumu abadili gear angani apishe wengine waongoze chama haraka sana.Huna hoja. Kuanzisha uzi huwezi. Kuwa hii yako ni moja ya mikakati kule kukomaa:
1. Siyo wa shari.
2. Uchaguzi watasusa tu.
Mbwenu, safari hii mtaula wa chuya!
Habari ndiyo hiyo bwana Mulokozi.
Kwa Sura ya kongamano la leo katiba ni ngumu sana kuipata. Mpaka sasa imedhihirika wanaotakà katiba ni CHADEMA.
Kama Mwenyekiti wa kudumu hataki kuachia hatamu je ataheshimu katiba kwa kutoka madarakani endapo akiwa Rais wa nchi?
Chama kinachodai katiba kina kasoro za kikatiba katika chama chao.
Hii ndo ile 'ukisusa twala' hivi chui anapomsusia fisi nyama ni kitu gani hasa anatarajia?
Tuonesheni mfano kwanza isije ikawa mnatufundisha msichoweza kukifanya Mwenyekiti wa kudumu apumzike na wengine waongoze.
Hii haiondoi ukweli kuwa ni Mwenyekiti wa kudumu na tabia hii ya kuhodhi madaraka inamuondolea credibility ya kudai katiba.Sio lazima umchague yeye awe Rais wa nchi siku kukiwa na tume huru.
Unaweza kumchagia Mrema,Sipunda Lipumba au Sindega.