Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

Hapo CCM anafurahi sana. Tena hasa wangesusa milele.

Yatakikana mikakati zaidi ya kumpokonya fisi mnofu kuliko kumsusia.
Kususa ni falsafa ya Mwenyekiti wa kudumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukizunguka Mitaani Utagundua Watu Hawako Karibu Kabisa Na Mambo Ya Siasa Wanapiga Kazi Sanaa, Hakuna Vikundi Vikundi Vikijadili Issue Ya Katiba Kama Wanavyojadili Kuuzwa Kwa Chama, Kauli Ya Mheshimiwa @SuluhuSamia Huenda Alijua Kabisa Watu Wanataka Maendeleo.
Screenshot_20210814-104404.png
 
Ukizunguka Mitaani Utagundua Watu Hawako Karibu Kabisa Na Mambo Ya Siasa Wanapiga Kazi Sanaa, Hakuna Vikundi Vikundi Vikijadili Issue Ya Katiba Kama Wanavyojadili Kuuzwa Kwa Chama, Kauli Ya Mheshimiwa @SuluhuSamia Huenda Alijua Kabisa Watu Wanataka Maendeleo.View attachment 1891753
Hali mtaani bado ni mbaya, hakuna pesa kabisa! Katiba ni muhimu sana ila watu wana njaa sana!
 
Nakuunga mkono 100%, suala la Katiba MPYA ni Twitter na Jamiiforums tu na wana CDM. Hata Mbowe kuwa yupo mahabusu Ukonga hawajadili kabisa. Mama anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom