Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

Hapo CCM anafurahi sana. Tena hasa wangesusa milele.

Yatakikana mikakati zaidi ya kumpokonya fisi mnofu kuliko kumsusia.
Kususa ni falsafa ya Mwenyekiti wa kudumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukizunguka Mitaani Utagundua Watu Hawako Karibu Kabisa Na Mambo Ya Siasa Wanapiga Kazi Sanaa, Hakuna Vikundi Vikundi Vikijadili Issue Ya Katiba Kama Wanavyojadili Kuuzwa Kwa Chama, Kauli Ya Mheshimiwa @SuluhuSamia Huenda Alijua Kabisa Watu Wanataka Maendeleo.
 
Hali mtaani bado ni mbaya, hakuna pesa kabisa! Katiba ni muhimu sana ila watu wana njaa sana!
 
Nakuunga mkono 100%, suala la Katiba MPYA ni Twitter na Jamiiforums tu na wana CDM. Hata Mbowe kuwa yupo mahabusu Ukonga hawajadili kabisa. Mama anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…