hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Nataka kumwajibisha huyu aliyejiwekea haya kwenye katiba:
1. Katiba iliyopo haiwawajibishi baadhi ya watendaji wakuu kwa kuikiuka, na hii ni kwa mujibu wa katiba yenyewe.
2. kwa katiba iliyopo pana watu hata kama wakiiba, wakipora, wakiuwa, wakidhulumu nk hiyo ni halali kwa mujibu wa katiba yenyewe.
3. katiba iliyopo inawapa baadhi ya watu mamlaka ya kujifanyia lolote bila kuhojiwa au hata kuwajibishwa tu.
4. Katiba iliyopo haitoi haki sawa kwa watu wote ndani ya nchi.
5. Kuna mianya mingi katika katiba hii ambayo inaweza kuifanya mihimili mingine hata kupoteza uhuru wake wa kiutendaji kwa mujibu wa katiba yenyewe.
Hilo litafanikiwa tu kwa kuwa na katiba mpya.
Habari ndiyo hiyo.
Alieweka hayo kwenye katiba ameshakufa anaitwa Nyerere labda umfate Mzee msekwa ambae nae alishiriki,