,
Niliamini uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, haki hii itarejelezwa
Tatizo kuu la chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, liko kwenye katiba ambapo haki zimetolewa kipengele kimoja cha katiba na kuporwa na kipengele kingine kilichochomekewa kwenye katiba kiubatili, hivyo ili uchaguzi wa serikali za mitaa na uchanguzi mkuu ujao uwe huru na wa haki, kwanza lazima tufanye minimum reforms za katiba yetu ya mwaka 1977 tuzirudishe haki zilizoporwa.
Naamini Mama ni msikivu, zile 4R zake is not paying lip services!.
Mungu Mbariki Rais Samia Ayaweze Mungu Ibariki Tanzania
Waslaam
Paskali
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.
Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!
HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.
Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni
HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.
Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.
If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.
Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze
HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.
Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.
Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali