Kuna vitu nchi hii usiongee, kajikatie tuu majani yako!. Hiyo picha ya kukata majani maporini, imenikumbusha enzi zangu za JKT Makotupora , mapori ya kule yanaitwa mitunduruni, sisi ilikuwa sio kutafuta kuni, unapita maporini ku jongo, na kwenda town!. Mabinti ni waoga hawawezi kupita maporini alone!, kiekweli miongoni mwa in born strength zangu, mimi ni fearless siogopi chochote, hivyo nilikuwa ni jongolist mzuri!.
Wale mabinti wa kishure from time to time, walikuwa wanawapelekea vitu vyao washure wenzao, hivyo mimi huwa ninapewa tenda ya kuwavusha kule msituni mitunduruni mpaka Vyeyula ndio kuna usafiri wa kwenda town. Sasa katika kuwavusha mkiwa katkati ya msitu, wengine wanajisikia so happy, so free, no inhibitions, the only thing they have worth giving is what they have!.
Hakuna ubaya wowote kupokea offers za appreciation ya asante za aina mbalimbali for the big risks you take!
Asante kunikumbusha mbali!.
P