We ndo hovyo kabisa!Mkuu P
Tuliambiwa rushwa hapa Tanzania ni sababu ya katiba -magufuli aliweza kwa katiba hii hivi
Tulidanganywa kuwa kuwajibisha maafsa wa serkali haiwezekani kwa sababu ya katiba - Magufuli akafanya na zaidi
Tukitapeliwa kuwa bila katiba mpya mikataba mibovu ilipitiwa na marais walipita huwezi gusa - Magufuli akaweza na tukalipwa
Tukitapeliwa kuwa kwa katiba hii hatuwezi kujiamulia chetu bila wazungu - Magufuli alifanya kwenye corona na tunavuka salama
Tukitapeliwa kuwa uchumi wetu hauwezi kuku wala kuvuia bei ya vitu kupanda hasa vya kutoka nje -magufuli aliweza
Hapa ishu sio katiba ni nani tumemweka pale juu huko nje kuna watu wabakatiba bora zaidi ya hii na wako hovyo sana akiamu Rais bunge linagoma,likiamua bunge Rais anagoma akimua mahakama rais na na bunge wanagoma ni mtifuano tu
Hapa kwetu kinachotukimbiza kwenye kutaka katiba mpya ni tamaa ya wanasiasa kuwa ikipatikana watapata pa kulia tu hakuna lolote ndio maana wakianza tu utasikia mabishano ya serkali mbili au tatu,hati ya muungano na value za kitaifa wala sio haki za wananchi hasa wakulima na wafugaji,walimu na watumishi wengine hovyo tu
USSR
Huishi kulipamba hilo shetani lenu.
Eti lilizuia rushwa na chanel 10 aliipataje?
Yule muovu ndo alituongezea matatizo kabisa na ndo anatufanya tuone umuhimu wa katiba mpya