Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

Ngosha.. nalemaga 🤣🤣🤣🤣
 
Wiki ijayo nitaendelee na ile mada ya wiki iliyopita ya usuluhishi ambao pia itaona jinsi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassani anavyoitumia dhana hii ya usuluhisi na maridhiano kulitibu taifa letu majeraha ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Lilijeruhiwa na kina nani ?
 
Lilijeruhiwa na kina nani ?
Hili sio swali valid kwasababu jibu lake ni kama kumsema vibaya marehemu!, kwa mila na tamaduni za Kiafrika, tunaheshimu sana marehemu, mtu akiisha tangulia mbele ya haki, anasemwa kwa mema tuu na sio kwa mabaya.
P
 
Hili sio swali valid kwasababu jibu lake ni kama kumsema vibaya marehemu!, kwa mila na tamaduni za Kiafrika, tunaheshimu sana marehemu, mtu akiisha tangulia mbele ya haki, anasemwa kwa mema tuu na sio kwa mabaya.
P
Okay....japo umeamua kulikwepa kiaina.
 
Ni vizuri wanasiasa wakatejesha mchakato wa Katiba Mpya, haraka iwezekanavyo. Hii Katiba ya chama kimoja ya 1977, haibebeki kwa Watanzania wasiofungamana na ccm
Mkuu Tate Mkuu , kwanza naunga mkono hoja, mchakato wa katiba mpya uanze, ila katiba ni ya wote na sio ya wanasiasa pekee!, tukiwategemea wanasiasa tutaula wa chuya!. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
 
Tanzania haiendeshwi na mihimili mitatu ya Dola Bali inaendeshwa na mhimili mmoja uliojichimbia wenye matawi mawili
 
Nchi inaongozwa Kwa mifumo sio mawazo ya mtu mmoja, hakuna wakati rushwa na ufisadi ulifanyika kama enzi za Jiwe tofauti ni kwamba aliamua nani afanye ufisadi na nani asifanye ongoza wewe familia yako Kwa mawazo yako ila nchi haiendeshwi hivyo
 
Mpaka pale wananchi majority watakapopata ufahamu nini ni nini na nini wanataka na sio kusemewa au kuambiwa na watu kwamba hiki ndio kile tutaendelea na the old adage. Dog eat Dog World.
Mkuu KeyserSoze naunga mkono hoja, ila ili hao wananchi majority wapate ufahamu wa nini ni nini, na nini wanataka, ni lazima watu wenye ufahamu wa nini ni nini, wajitokeze na kujitolea kuwaelimisha wengine nini ni nini, vinginevyo ni kweli tutaendeleza dog eat dog world!.

Na ndio maana baadhi yetu tumeanza kampeni ya uelimishaji umma kuhusu katiba Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni Nini, ya Nani, ya Kazi Gani?. Msemo "Katiba Ndio Kila Kitu" Una Maana Gani?. Katiba Ina Umuhimu Gani? but to my surprise, japo watu hawaijui katiba, mtu unajitolea kuelimisha umma, tembelea uzi huo wa elimu ya kuijua katiba uone ni watu wamechangia!, ila ningepandisha bandiko la Mondi na Zari au na Wema saa hizi ungekuta 20 pages!.
P
 
- mpaka leo Nani amekamtwa hata kushukiwa?
Mkuu Bale, BALENSIAGA , hakuna aliyekamatwa kwasababu hakuna shuhuda hata mmoja aliyeshuhudia hivyo polisi kukosa lead ya pa kuanzia kufanya uchaguzi. Maadam sasa shahidi mmoja muhimu amerejea nchini, atahojiwa na uchunguzi ndio utaanza!.
P
 
Mkuu nimesoma bandiko hili nishule nzuri
Ila nadhani pale hoja namba 16 umesema sheria ya mwaka 1909 sasa sijui kama ulimaanisha hivyo kweli au ulitaka kusema vinginevyo
 
Jizi lile plea bargain aliiba akaipeleka kuificha China. Yule alikuwa takataka kabisa
 
Jizi lile plea bargain aliiba akaipeleka kuificha China. Yule alikuwa takataka kabisa
Mkuu MKANDAHARI , msijichumie dhambi bure!. Fedha za plea bargain zilikuwa zinalipwa kwa control number na kuingia direct BOT!, hivyo kama zilihamishiwa popote, tracing them is a matter of seconds. Haya mambo ya kesema sema vitu lazima tumsaidie Mama. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…