Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama

Tumevuka nyakati ngumu sana kama kudumisha Muungano wetu kwa hiyo wanasiasa wasionee vyaelea vimeundwa
 
Acha uongo vinginevyo utuambie unanufaika nayo hivyo unatamani iendelee kudumu.
 
Hii ni KATIBA BORA KUPITA MAELEZO.

Si lazima tufanane na nchi nyingine iwapo kwetu Kuna AMANI NA UTULIVU kuliko hizo nchi nyingine.

Ni jana tu mh.Rais Uhuru Kenyatta amewaambia WAKENYA kuwa SIASA ZA KIBABILA ZIMEKITA MIZIZI MIREFU.

Je Tanzania Kuna UKABILA?!!
Jibu ni HAKUNA......

Sasa hawa wanasiasa wenye sera za MAJIMBO wanataka nini zaidi?!!!!

Jibu....UROHO WA MADARAKA kwa kuwatumia MAAMUMA wao WASIOJIELEWA.......
 
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama....
Nyakati ngumu zipi tulizovushwa na katiba hii!!??
 
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama

Tumevuka nyakati ngumu sana kama kudumisha Muungano wetu kwa hiyo wanasiasa wasionee vyaelea vimeundwa
Tumekusikia mnufaika kwayo.
 
CCM ina wapiga debe duni sana ! hivi huwa mnaokotwa wapi ?
 
Hahahahahahahahahahahahaha
 
Unayakataa haya maneno ya Nyerere ?

“Katiba hii imenipa madaraka
makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia
atakavyo na kuwa kama Mungu” - Mwl Nyerere
 
CCM ina wapiga debe duni sana ! hivi huwa mnaokotwa wapi ?
Bora CCM chadema hata viongozi ni vilaza wavuta ngada yaani huwa wanaropoka kama wametoka vichochoroni kwa mfano jitu moja linasema halitashiriki uchaguzi sijui nani analilazimisha ukisusa wenzio wanakula
 
Back
Top Bottom