Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

Rais alitoa agizo mwezi wa pili mwaka huu lakini hadi sasa hakuna utekelezaji, mpaka Chongolo kakisanua.

Pindi Chana wakati agizo linatolewa alikuwa Wizara nyingine kapelekwa Maliasili Mwezi wa nne mwaka huu, tatizo ni mabadiliko ya mawaziri mara kwa mara lakini tasimini ya maagizo ya Rais SSH aliyoyatoa jukwaani na utekelezaji wake ufanywe kuona wanafanya anavyosema aagizaa.
 
Ngoja tuone ingawa chongoro hana uwezo wa kumtoa hapo mana amewekwa na wazee wa kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Vipi Makamu Mwenyekiti bado hajaanza mishe zake? Anasaidia sana kupunguza idadi yao
 
Point hiyo: Ni namna nzuri kukemeana na kurekebishana wenyewe kwa wenyewe hata ikibidi hadharani, hii itaonyesha transparency kwa wananchi, sio zile za vikao vya ndani ambayo hatujui kama mnarekebishana au mnalindana huko.
Hii style alitumia sana mzee wa tembo akanusuru chama chake.
 
Awaambie hao watu wahame huo ukanda wa Tembo.
 
Duh, Pascal anahangaika kweli, anahitaji msaada kutoka kwa watumishi wa Mungu.
 
Niko upande wa Tembo ujenzi holela kwenye mapito ya tembo...
 
Ccm Wanafanya Sarakasi Tu, Nani Aachie Ngazi?

Komedi shoo aaah futuhiiii!
Sarakasi kazi za Sanaa!
 
Huyo pindi ni kama Kobe juu ya mti, unamjua aliempandisha? Chongolo aache kihelehele yatamkuta ya ndugao.

Hao Tembo kufikia February mwakani watakua wamepungua Sana, hawatavamia tena makazi tuwape muda.
Haaaa,Tembo wanaogopa awamu hii?
 
Huyo pindi ni kama Kobe juu ya mti, unamjua aliempandisha? Chongolo aache kihelehele yatamkuta ya ndugao.

Hao Tembo kufikia February mwakani watakua wamepungua Sana, hawatavamia tena makazi tuwape muda.
Muuza tembo mkuu ameikamata dola kupitia chama
 
Back
Top Bottom