Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,164
- 3,553
tembo nao wanauliwa na fundengeKila kona tembo wanauwa watu waziri yuko kimya kabisa.
Jiwe alimkataaGA huyu Mama Balozi wao wakamleta. Sasa wanalaumu nini?Mambo si mambo.
Haaaa,Tembo wanaogopa awamu hii?Huyo pindi ni kama Kobe juu ya mti, unamjua aliempandisha? Chongolo aache kihelehele yatamkuta ya ndugao.
Hao Tembo kufikia February mwakani watakua wamepungua Sana, hawatavamia tena makazi tuwape muda.
MATAGA yatasema mbona wakati wa Magu Tembo walikuwa wametulia? Sasa hivi Tembo hata hawamwogopi Rais SSH😅😅😅Ni jambo jema
Pindi ni singasinga mambo ya maliasili hawezi
Huwa wanauza kimya kimyaTembo wanafanya uharibifu na kuua, lakini meno yao kwenye ghala hayatakiwi hata kuguswa.....
Muuza tembo mkuu ameikamata dola kupitia chamaHuyo pindi ni kama Kobe juu ya mti, unamjua aliempandisha? Chongolo aache kihelehele yatamkuta ya ndugao.
Hao Tembo kufikia February mwakani watakua wamepungua Sana, hawatavamia tena makazi tuwape muda.
Hakika umenenaAJIUZULU ILI MUISLAMU MWINGINE APATE SHAVU