Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.
Waliondoka waziri wakuu wastaafu na bado tu yeye itakuwa kawaida sana na habari hiyo haitojadiliwa mwezi ukaisha hiyo ndiyo siasa bwana
Mzee Kinana, tuwe wakweli ni jembe. Alisaidia sana kukipa uhai CCM baada ya mtangulizi wake mzee Wilson Mukama kuelekea kumshinda. Hivyo kwa watu makini, lazima wamshukuru sana Mzee kinana, anayebeza labda hana kumbukumbu. Alifanya kazi kubwa na ya ziada. Falsafa yake kubwa ilikua ni mikutano kwa wananchi, na kwa hilo alifanikiwa.
 
hili gazeti mmmh???????????????????????????
 

Yule mzee ni zaidi ya jembe na mchango wake ni 80% ccm kushinda 2015 ila ikitokea kaondoka nikuvumilia tu hamna namna
 
Mi sioni habari hapo,ni vitu ambavyo kwa mtanzania yeyote ambaye anatazama mambo kwa kutumia jicho la tatu alitegemea ya comrade Kinana kutokea.All in all inanifanya nimkumbuke mama Samiah na inshu ya Mange Kimambi.
 
What happen to Brother Kinana the kingmaker inamaanisha Serikali ya awamu ya tano haitekelezi ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…