Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Hongera Mwenyekiti Dkt Samia. Isingependeza iwe kama Mtu aachwe Leo jioni, kesho tu asubuhi aoe.
 
Nakuona mzee
 
haa kinaitwa animal farm mwandishi anaitwa somebody orwel . Jina kwanza limenitoka. Hicho kitabu kiliwahi pigwa marufuku kwa baadhi ya nchi , maana kilikuwa kama dhihaka kwa watawala
George Orwel, ingawa hili ni jina lke la kiuandishi
 
Mkuu wala usishangae kauli ya mama Samia huyo mama muone hivo Hana jaziba lakini aliyejiuzuru anakashifa kibao zinazohusu yeye na zenye ushahidi na Yule mzee wa Canada ! Kama huyo mzee wa Canada anajuwa dili anazofanya na mbowe kwa kumshawishi mkuu wa nchi
 
Hivi na wewe ni miongoni mwaka wale mabikira 72 aliotuahidi Allah Firdaus?
Makubwa

Wanawake wa kiislamu hawajaahidiwa wanaume Mabikra wasiojua Mwanamke wawabikiri wenyewe ni wanaume tu watakaoenda peponi Kwa mungu wao Allah ndio wameahidiwa wanawake bikra 72 wabikiri wenyewe na kujiendelea kujinoma nao

Kasome Quran kama husomi tafuta imamu akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…