Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Hongera Mwenyekiti Dkt Samia. Isingependeza iwe kama Mtu aachwe Leo jioni, kesho tu asubuhi aoe.
 

Attachments

  • FB_IMG_1701259790917.jpg
    FB_IMG_1701259790917.jpg
    50.6 KB · Views: 1
"Genge la Wahuni" litayumbisha sana Chama na Serikali kama vyombo hivyo viwili visipokuwa makini na imara.Ndio upo udhaifu mkubwa kwenye utendaji wa Chama na Serikali,lakini "Genge la Wahuni" will be worse for Tanzania and a night mare for if it seizes power.
Nakuona mzee
 
haa kinaitwa animal farm mwandishi anaitwa somebody orwel . Jina kwanza limenitoka. Hicho kitabu kiliwahi pigwa marufuku kwa baadhi ya nchi , maana kilikuwa kama dhihaka kwa watawala
George Orwel, ingawa hili ni jina lke la kiuandishi
 
Kwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.

Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?

Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?

Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu wala usishangae kauli ya mama Samia huyo mama muone hivo Hana jaziba lakini aliyejiuzuru anakashifa kibao zinazohusu yeye na zenye ushahidi na Yule mzee wa Canada ! Kama huyo mzee wa Canada anajuwa dili anazofanya na mbowe kwa kumshawishi mkuu wa nchi
 
Hivi na wewe ni miongoni mwaka wale mabikira 72 aliotuahidi Allah Firdaus?
Makubwa

Wanawake wa kiislamu hawajaahidiwa wanaume Mabikra wasiojua Mwanamke wawabikiri wenyewe ni wanaume tu watakaoenda peponi Kwa mungu wao Allah ndio wameahidiwa wanawake bikra 72 wabikiri wenyewe na kujiendelea kujinoma nao

Kasome Quran kama husomi tafuta imamu akusaidie
 
Back
Top Bottom