Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Naby na wewe sasa umeanza kutumia code ngumu. Rahisisha basi,usiku huu wote huu unaongea ma offside trick?Offside trick,,, ila sio wale wa zenji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naby na wewe sasa umeanza kutumia code ngumu. Rahisisha basi,usiku huu wote huu unaongea ma offside trick?Offside trick,,, ila sio wale wa zenji
Dude kubwa lisilo na ubora, na linalotegemea zaidi wizi wa kura tu kukaa madarakani kwa shuruti.Maisha hayawezi simama na ccm ni dude kubwaaaaaaaaaaaaaaaa!
🤭🤭🤭😁😁😁😂😂😂😂Unaujuwa uume wa Chongolo?
Tatizo kuu la CCM ni huyo huyo zero brain. Wasizunguke mbuyu...Samia anatufanya Watoto, ana vyombo vyote, inakuwaje unaridhia halafu ndio uchunguze?
Kuna kila ushahidi Chongolo amewaout smart, yani Chongolo yupo mbele ya muda, aibu yao wenyewe.
Mtajua hamjui, mataga wanawatisha![emoji16]Kimsingi acheze karata zake vizuri dhidi ya Bashite Zerobrain, maana ataanza kumchafua kama alivyomchafua Chongolo
Samia tunakoelekea hataiweza tena hii CCM!! Mtoto wa mamba hawezi mtishia mtoto wa kiboko majini.Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Wewe ni KEE?Kawaida.
Hivi na wewe ni miongoni mwaka wale mabikira 72 aliotuahidi Allah Firdaus?We poyoyo kuna anaechunguzwa akiwa madarakani?
Akiwa ME ameshaaga mashindano tayari.Wewe ni KEE?
Nakuona mzee"Genge la Wahuni" litayumbisha sana Chama na Serikali kama vyombo hivyo viwili visipokuwa makini na imara.Ndio upo udhaifu mkubwa kwenye utendaji wa Chama na Serikali,lakini "Genge la Wahuni" will be worse for Tanzania and a night mare for if it seizes power.
Hapo unampa hongera ya nini sasa?Hongera Mwenyekiti Dkt Samia. Isingependeza iwe kama Mtu aachwe Leo jioni, kesho tu asubuhi aoe.
George Orwel, ingawa hili ni jina lke la kiuandishihaa kinaitwa animal farm mwandishi anaitwa somebody orwel . Jina kwanza limenitoka. Hicho kitabu kiliwahi pigwa marufuku kwa baadhi ya nchi , maana kilikuwa kama dhihaka kwa watawala
Mkuu wala usishangae kauli ya mama Samia huyo mama muone hivo Hana jaziba lakini aliyejiuzuru anakashifa kibao zinazohusu yeye na zenye ushahidi na Yule mzee wa Canada ! Kama huyo mzee wa Canada anajuwa dili anazofanya na mbowe kwa kumshawishi mkuu wa nchiKwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?
Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?
Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hili hili la bifu na Kinana na mzee wa Msoga ni kweli au tunapigwa changa la macho?Samia tunakoelekea hataiweza tena hii CCM!! Mtoto wa mamba hawezi mtishia mtoto wa kiboko majini.
Nany ibeni mbadili katiba na tume msitoke milele!Dude kubwa lisilo na ubora, na linalotegemea zaidi wizi wa kura tu kukaa madarakani kwa shuruti.
MakubwaHivi na wewe ni miongoni mwaka wale mabikira 72 aliotuahidi Allah Firdaus?
Tangu lini mmakonde akatishwa na kinyago alichokichonga mwenyewe?Hili hili la bifu na Kinana na mzee wa Msoga ni kweli au tunapigwa changa la macho?
Kinana na Kikwete hawawezi kuwa na bifu hata siku moja.Hili hili la bifu na Kinana na mzee wa Msoga ni kweli au tunapigwa changa la macho?