Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
MkuuZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Ya kweli haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Takbiir.Makubwa
Wanawake wa kiislamu hawajaahidiwa wanaume Mabikra wasiojua Mwanamke wawabikiri wenyewe ni wanaume tu watakaoenda peponi Kwa mungu wao Allah ndio wameahidiwa wanawake bikra 72 wabikiri wenyewe na kujiendelea kujinoma nao
Kasome Quran kama husomi tafuta imamu akusaidie
Uchunguzi tena?Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika
I meant Kinana + Kikwete vs SamiaKinana na Kikwete hawawezi kuwa na bifu hata siku moja.
Wanawadanganya mazezeta wenzao, Chongolo yupo mbele ya muda.Uchunguzi tena?
Bado hamjasema....
Sijui kama ni kweli ila ukienda Twitter kwa fala mmoja anayejiita Kigogo media aliweka chat zake na hiyo picha...Mkuu
Ya kweli haya?
Tangu lini Mmakonde atishwe na Kinyago alichokichonga mwenyewe?I meant Kinana + Kikwete vs Samia
Mange Kimambi AppKwa hiyo mitandao gani ya kijamii Chongolo alichafuliwa?
Alaahu AkbarTakbiir.
Hakuna mtu aliyeko CCM mwenye uwezo wa kushindana ama kuwekeana bifu na aliyekalia kiti cha enzi. Ni unalia, unagugumia ukimaliza unafuta machozi maisha yanaendelea.I meant Kinana + Kikwete vs Samia
Wewe lazima utakuwa ni mteja wa App ya Mange.Sijui kama ni kweli ila ukienda Twitter kwa fala mmoja anayejiita Kigogo media aliweka chat zake na hiyo picha...
Imagine huko akhera unazawadiwa her Majesty the Queen of kizimkazi!! Hizi dini bhn!!Takbiir.
Hata mimi hili la nguvu za urais huwa nalisema sana. Kwa katiba ya sasa mtu akishaupata urais basi atafanya atakavyo na hakuna wa kumwambia fyoko au kelele zinakuwa kama za chura tu...Hakuna mtu aliyeko CCM mwenye uwezo wa kushindana ama kuwekeana bifu na aliyekalia kiti cha enzi. Ni unalia, unagugumia ukimaliza unafuta machozi maisha yanaendelea.
Samia amechagua kushika njia yake na taratibu linakuwa joka kubwa zaidi ya Magufuli.
Kinana na JK ni ufisadi tu ndo unawatoa roho na wanaona njia zao nyingi hasa Bandari ulaji unakatika na mishe nyingi za JK zinakwenda mrama sio kwakua aliyeko madarakani anawabania laah isipokua aliyeko madarakani anaogopa kuwabeba.
The only person angeweza kubeba uchafu wa JK na mawakala wao alikua Lowassa peke yake. 2015 ilikua ajali kubwa sana kwa wanamtandao na hawatakaa wapone yale majeraha. JK aridhike na Posho za Salma na Ridhiwani.
Mimi nileteeni FaizaFoxy tu.Imagine huko akhera unazawadiwa her Majesty the Queen of kizimkazi!! Hizi dini bhn!!
Kwa taarifa yako... hizo shutuma nimesema ziko kwa bwege anayejiita Kigogo media. Na kabisa kabisa sijasema ni za kweli. Mimi niko kwenye Internet tangu miaka ya 2002 na najua mengi. Naona unanivalia njuga bila sababu na wala sijasema ni hizo chat ndiyo sababu hasa. Nimesema kunamengine nyuma.... Understand?Wewe lazima utakuwa ni mteja wa App ya Mange.
Hivi umri huo huwezi kujuwa hizi charts zinaweza kutengenezwa?
Simtetei Chongolo lakini hakuna mwanamke smart wa kufanya upuuzi huo labda kama unadate na vichaa wa Bongo fleva na Bongo movie.
Audio za Kasim Majaliwa na mke wa Tumbiri zipo mbona Majaliwa hakuguswa hata chembe?
Kinachonisikitisha na kukaa tamaa ni uwezo Mdogo wa Watanzania kufikiri na kuchanganuwa mambo.
Kama Ccm inasimamia maadili wa kwanza kuwajibika au kuwajibishwa angekuwa ni Kassimu.
Halafu uzinzi kwa Ccm wala siyo kashfa, wabunge wote wanawake hupati hiyo nafasi sharti uliwe kwanza.
Mbaya zaidi hao wote wakitoka wanakua victim wa kivuli cha rais na aliyeko madarakani hajifunzi na aliyetoka hataki kuwa somo la historia kwa watu.Hata mimi hili la nguvu za urais huwa nalisema sana. Kwa katiba ya sasa mtu akishaupata urais basi atafanya atakavyo na hakuna wa kumwambia fyoko au kelele zinakuwa kama za chura tu...
Anapenda vibenten tu tena wale wa kazi chafuMimi nileteeni FaizaFoxy tu.
Kwa hiyo unampangia Mwenyekiti au?Samia anatufanya Watoto, ana vyombo vyote, inakuwaje unaridhia halafu ndio uchunguze?
Kuna kila ushahidi Chongolo amewaout smart, yani Chongolo yupo mbele ya muda, aibu yao wenyewe.