Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Makubwa

Wanawake wa kiislamu hawajaahidiwa wanaume Mabikra wasiojua Mwanamke wawabikiri wenyewe ni wanaume tu watakaoenda peponi Kwa mungu wao Allah ndio wameahidiwa wanawake bikra 72 wabikiri wenyewe na kujiendelea kujinoma nao

Kasome Quran kama husomi tafuta imamu akusaidie
Takbiir.
 
I meant Kinana + Kikwete vs Samia
Hakuna mtu aliyeko CCM mwenye uwezo wa kushindana ama kuwekeana bifu na aliyekalia kiti cha enzi. Ni unalia, unagugumia ukimaliza unafuta machozi maisha yanaendelea.

Samia amechagua kushika njia yake na taratibu linakuwa joka kubwa zaidi ya Magufuli.

Kinana na JK ni ufisadi tu ndo unawatoa roho na wanaona njia zao nyingi hasa Bandari ulaji unakatika na mishe nyingi za JK zinakwenda mrama sio kwakua aliyeko madarakani anawabania laah isipokua aliyeko madarakani anaogopa kuwabeba.

The only person angeweza kubeba uchafu wa JK na mawakala wao alikua Lowassa peke yake. 2015 ilikua ajali kubwa sana kwa wanamtandao na hawatakaa wapone yale majeraha. JK aridhike na Posho za Salma na Ridhiwani.
 
Sijui kama ni kweli ila ukienda Twitter kwa fala mmoja anayejiita Kigogo media aliweka chat zake na hiyo picha...
Wewe lazima utakuwa ni mteja wa App ya Mange.

Hivi umri huo huwezi kujuwa hizi charts zinaweza kutengenezwa?

Simtetei Chongolo lakini hakuna mwanamke smart wa kufanya upuuzi huo labda kama unadate na vichaa wa Bongo fleva na Bongo movie.

Audio za Kasim Majaliwa na mke wa Tumbiri zipo mbona Majaliwa hakuguswa hata chembe?

Kinachonisikitisha na kukaa tamaa ni uwezo Mdogo wa Watanzania kufikiri na kuchanganuwa mambo.

Kama Ccm inasimamia maadili wa kwanza kuwajibika au kuwajibishwa angekuwa ni Kassimu.

Halafu uzinzi kwa Ccm wala siyo kashfa, wabunge wote wanawake hupati hiyo nafasi sharti uliwe kwanza.
 
Hakuna mtu aliyeko CCM mwenye uwezo wa kushindana ama kuwekeana bifu na aliyekalia kiti cha enzi. Ni unalia, unagugumia ukimaliza unafuta machozi maisha yanaendelea.

Samia amechagua kushika njia yake na taratibu linakuwa joka kubwa zaidi ya Magufuli.

Kinana na JK ni ufisadi tu ndo unawatoa roho na wanaona njia zao nyingi hasa Bandari ulaji unakatika na mishe nyingi za JK zinakwenda mrama sio kwakua aliyeko madarakani anawabania laah isipokua aliyeko madarakani anaogopa kuwabeba.

The only person angeweza kubeba uchafu wa JK na mawakala wao alikua Lowassa peke yake. 2015 ilikua ajali kubwa sana kwa wanamtandao na hawatakaa wapone yale majeraha. JK aridhike na Posho za Salma na Ridhiwani.
Hata mimi hili la nguvu za urais huwa nalisema sana. Kwa katiba ya sasa mtu akishaupata urais basi atafanya atakavyo na hakuna wa kumwambia fyoko au kelele zinakuwa kama za chura tu...
 
Attachments

  • FB_IMG_1690777871914.jpg
    FB_IMG_1690777871914.jpg
    17 KB · Views: 3
Wewe lazima utakuwa ni mteja wa App ya Mange.

Hivi umri huo huwezi kujuwa hizi charts zinaweza kutengenezwa?

Simtetei Chongolo lakini hakuna mwanamke smart wa kufanya upuuzi huo labda kama unadate na vichaa wa Bongo fleva na Bongo movie.

Audio za Kasim Majaliwa na mke wa Tumbiri zipo mbona Majaliwa hakuguswa hata chembe?

Kinachonisikitisha na kukaa tamaa ni uwezo Mdogo wa Watanzania kufikiri na kuchanganuwa mambo.

Kama Ccm inasimamia maadili wa kwanza kuwajibika au kuwajibishwa angekuwa ni Kassimu.

Halafu uzinzi kwa Ccm wala siyo kashfa, wabunge wote wanawake hupati hiyo nafasi sharti uliwe kwanza.
Kwa taarifa yako... hizo shutuma nimesema ziko kwa bwege anayejiita Kigogo media. Na kabisa kabisa sijasema ni za kweli. Mimi niko kwenye Internet tangu miaka ya 2002 na najua mengi. Naona unanivalia njuga bila sababu na wala sijasema ni hizo chat ndiyo sababu hasa. Nimesema kunamengine nyuma.... Understand?
 
Hata mimi hili la nguvu za urais huwa nalisema sana. Kwa katiba ya sasa mtu akishaupata urais basi atafanya atakavyo na hakuna wa kumwambia fyoko au kelele zinakuwa kama za chura tu...
Mbaya zaidi hao wote wakitoka wanakua victim wa kivuli cha rais na aliyeko madarakani hajifunzi na aliyetoka hataki kuwa somo la historia kwa watu.

Nyerere alikuja kuwa victim wa siasa za akina mwinyi na watu wao....

Mwinyi somehow alikua victim wa siasa za mkapa...

Mkapa akawa victim wa siasa za wanamtandao hadi kufikia kulia kwa kijana wake Magufuli.

JK na wanamtamdao wenzie walikua victimised na siasa za magufuli kupita kiasi and magufuli asingekufa JK alikua anakwenda ndani.

Samia alifaa awe mwanafunzi mwema wa historia bahati mbaya sana historia haimjengi mwafrika kulinganisha na wenzetu ulaya.
 
Karibu sana ndugu Macha!🙏🙏🙏Nakuombea sana uteuliwe kuwa katibu mkuu kbs badala ya kukaimu
 
Back
Top Bottom