Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.

Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.

Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?

Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Amegoma kuwa Jiwe la chumvi
 
Hii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.

Chama kinafuka Moshi Mkuu.

Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
IMG-20240417-WA0038.jpg
 
Kuna wapinzani watakuja kushangilia ugomvi wa CCM humu knowing when it comes kwenye Uchaguzi Mkuu wenzao huwa kitu kimoja!
 
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.

Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.

Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?

Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
mbona kaongea fresh tu
 
Hivi wanashindwa kuongea hadi waje wabweke kenye majukwaa.

Wanatakiwa waje huku kwenye majukwaa kutueleza ilani imefikia wapi na sio kulialia.
 
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.

Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.

Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?

Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?

Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
mafumbo yepi? undhani wote tunasikiliza ujinga/upuuzi wa ccm....weka mifano tuchangie
 
Nchimbi yeye ndio ana kigawa chama maana kila mmoja anajua kuwa Rais alikuwa anatukanwa watu wamekaa kimya…na watu walikuwa wanajua fikq wahusika ni Wana CCM .
 
Anajaribu tu kutuliza mchecheto wa vijana wa Godfather, yeye mwenyewe anafurahia makombora ya Makonda.
 
Nchimbi yeye ndio ana kigawa chama maana kila mmoja anajua kuwa Rais alikuwa anatukanwa watu wamekaa kimya…na watu walikuwa wanajua fikq wahusika ni Wana CCM .
Sasa si wekeni hapa hayo matusi ili tujadili jamani ! kizuri kula na nduguyo bhana !
 
Back
Top Bottom