Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

"Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amosi Makalla amesema lazima Watu wajue kuwa mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani na hakuna Kiongozi wa Serikali au Chama anayeweza kuingilia Mhimili wa Mahakama."

HAPO MAKALA KAZUNGUMZA BAYA LIPI?
Tatizo ni kwamba watu wanaomtetea Makonda humu ni mburura hawajui hata basic legal issues kama hizo. Kuna kitu kinaitwa separation of powers. Zerobrain Makonda hana akili je wafuasi wake unategemea watakuwaje?
 
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.

Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.

Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?

Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?

Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
Mafumbo hujaweka halafu unataka mimi nijadili utadhani tulikuwa wote kwenye msafara wa huyo katibu.
 
Kijn ameshndkn ,
Amebebwa na m-mbeleko wa chuma lakn wapi , mwisho wa siku watu yanawatoka
 
Yeye mwenyewe mshamba, amekosa maneno ya kuongea hadi ajibu?
 
Nchimbi yeye ndio ana kigawa chama maana kila mmoja anajua kuwa Rais alikuwa anatukanwa watu wamekaa kimya…na watu walikuwa wanajua fikq wahusika ni Wana CCM .
Ni matusi gani hayo ambayo Rais alitukanwa, mbona hatutajiwi hata moja
 
Hii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.

Chama kinafuka Moshi Mkuu.

Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
Hakuna Chama kisicho Minyukano...waulize akina Zitto...
 
Katibu mkuu wa sasa wa CCM, Mwenezi taifa wake na Naibu mwenyekiti wanaendesha mtumbwi uliotoboka hawawezi kuwavusha watu kwenda ng'ambo, hapo katikati itatokea ajali wakati wakibishana wenyewe kwa wenyewe ndani ya mtumbwi hadi dhoruba na tufani itakipasua chombo na kusababisha watu walio panda humo asilimia sabini (70%) kufa maji.

Wamekazana kumshambulia Makonda kimafumbo na kudhalilisha kazi zilizotukuka za JPM wakifikiri wana akili nyingi na wamiliki wa ardhi ya Tanzania lakini wanasahau anga haina mwisho na urafiki na mtu yeyote.
Shida ni kuwa watu wengi ndani ya CCM, wamefubaa kisiasa, kuhujumiana ndiyo silaha ya kutokea.
 
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.

Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.

Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?

Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?

Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

Shida kubwa CCM hawapendani na kazi yao kubwa ni kuwekeana majungu na kusemana semana badala ya kufanya kaz

Ndio maana TZ ni maskin sana , wanasiasa weng ni wajinga

Huyo huyo Makala alishawahi kusikika akisema nchi haina Rais . That means , hata mama anakuwa snitched na Watu hao hao anaowateua

CCM ni kuwekwa kwando tu
 
Alisema ktk utawala wa nani
 
Back
Top Bottom