Umejiuliza kwa nini leo ni alhamisi na Makonda hajataja hao mawaziri wanaopanga njama mbaya dhidi ya bosi wao wakati alisema itakuwa jumatatu? DRAMA!
Hii anatuambia kuwa tuna BARAZA LA MAWAZIRI bovu maana lina wasaliti wanaovunja viapo vyao kwa Rais na Rais (kama taasisi) hachukui hatua.
Nchimbi kakataa kuwa sehemu ya Drama hizo.
Makonda mpaka hapo alipo alipaswa awe amehojiwa kama mteule kwa nini kalituhumu Baraza la mawaziri linalomshauri Rais (anaye muita mama yake)?
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app