Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Hapo sasayeye mwenyewe anakigawa chama,wangeongelea ndani
Na yote kayaleta huyu huyu nyamitakoHii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.
Chama kinafuka Moshi Mkuu.
Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
Amegoma kuwa Jiwe la chumviSisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Hii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.
Chama kinafuka Moshi Mkuu.
Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
mbona kaongea fresh tuSisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Siku za RC wa Arusha zinahesabika , Nchimbi kwa fitna hana mfanoHii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.
Chama kinafuka Moshi Mkuu.
Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
mafumbo yepi? undhani wote tunasikiliza ujinga/upuuzi wa ccm....weka mifano tuchangieSisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
Sasa si wekeni hapa hayo matusi ili tujadili jamani ! kizuri kula na nduguyo bhana !Nchimbi yeye ndio ana kigawa chama maana kila mmoja anajua kuwa Rais alikuwa anatukanwa watu wamekaa kimya…na watu walikuwa wanajua fikq wahusika ni Wana CCM .