Nchimbi na Makala(Mr Gugu) hawana mvuto wa kisiasa kwa kizazi cha sasa, wanaendesha siasa za kale kwenye zama za usasa!Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
Wewe usie mshamba umemzidi nini!!!Mlaumu mamako kwa huo upumbavu, katibu mkuu wa CCM amseme nyau km RC? huyo mshamba wenu ndio mnamharibia zaidi
Na yote kayaleta huyu huyu nyamitako
Unalipwa na hùyu mhalifu Bashite siyo!! Acheni ujinga wenu, muda wa drama umekwisha wacha watu wapige kaziSisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
🤣 🤣 🤣Sasa si wekeni hapa hayo matusi ili tujadili jamani ! kizuri kula na nduguyo bhana !
Endelea kuota ndoto hivo hivo! Nchimbi anaushawishi gani ndani ya jamii kumlinganisha na Makonda?Siku za RC wa Arusha zinahesabika , Nchimbi kwa fitna hana mfano
Mbona kizuri cha kujua pesa za join the chain nyie hamuweki hapa tukajua wote? Au hicho kizuri cha kukula na nduguyo ni kile chao tu, lakini cha kwako kinakuwa kichungu kula na nduguyo?Sasa si wekeni hapa hayo matusi ili tujadili jamani ! kizuri kula na nduguyo bhana !
Umejiuliza kwa nini leo ni alhamisi na Makonda hajataja hao mawaziri wanaopanga njama mbaya dhidi ya bosi wao wakati alisema itakuwa jumatatu? DRAMA!Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
Unataka waongee nini?Safu hii ya CCM ni mbovu na imechoka Bahati mbaya Chadema nao hawana haha ya kuchukua dola wana nafasi nzuri. Angalia makamu mwenyekiti CCM amechoka mbaya, Katibu mkuu ni jina tu linasikika hana jipya kabisa na huyo Mwenezi hawezi hata kupanga yale ya kuzungumza. Poleni sana CCM
Weka hizo kauli. Huyo RC kafanya nini kurekebisha yaliyoharibika juu ya rais? Hivi huoni uhuni wake? Hajachukua hatua yoyote, na kwa cheo chake sioni kama ana nafasi hiyo, pia sioni akivishirikisha vyombo husika vya mambo hayo, kama huyo rais haoni kama wote wanaomzunguka ni wasanii, basi atakuwa mtupu sana!Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.
Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais.
Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati?
Je, anafurahi wadhifa wa urais kutukanwa na kuhujumiwa?
Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani
Mleta Uzi hamjui rc. Alidumu awamu iliyopita kwa michezo kama hii, kila siku kuibuka na tuhuma hii ama ile, kila siku kuja na mawazo ya mradi huu ama ule, na yote yanaishia kwa baadhi ya watu kudhalilishwa, kutuhumiwa uongo, yeye anapeta. Hapo ni wivu kwa hilo baraza la mawaziri, na Hana hata mmoja wa kumchafua, anatishia panya tu na kuzidi kumsanifu rais. Ila rais kayataka mwenyewe, atayaoga, si kayavulia nguo?Umejiuliza kwa nini leo ni alhamisi na Makonda hajataja hao mawaziri wanaopanga njama mbaya dhidi ya bosi wao wakati alisema itakuwa jumatatu? DRAMA!
Hii anatuambia kuwa tuna BARAZA LA MAWAZIRI bovu maana lina wasaliti wanaovunja viapo vyao kwa Rais na Rais (kama taasisi) hachukui hatua.
Nchimbi kakataa kuwa sehemu ya Drama hizo.
Makonda mpaka hapo alipo alipaswa awe amehojiwa kama mteule kwa nini kalituhumu Baraza la mawaziri linalomshauri Rais (anaye muita mama yake)?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hali ni teteAcha BASHITE awavuruge haswa hadi wasipate muda wa kutuibia zaidi
Wao wanakuja kusigana majukwaaniHivi wanashindwa kuongea hadi waje wabweke kenye majukwaa.
Wanatakiwa waje huku kwenye majukwaa kutueleza ilani imefikia wapi na sio kulialia.
Katibu mkuu wa sasa wa CCM, Mwenezi taifa wake na Naibu mwenyekiti wanaendesha mtumbwi uliotoboka hawawezi kuwavusha watu kwenda ng'ambo, hapo katikati itatokea ajali wakati wakibishana wenyewe kwa wenyewe ndani ya mtumbwi hadi dhoruba na tufani itakipasua chombo na kusababisha watu walio panda humo asilimia sabini (70%) kufa maji.Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha.