Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

"Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amosi Makalla amesema lazima Watu wajue kuwa mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani na hakuna Kiongozi wa Serikali au Chama anayeweza kuingilia Mhimili wa Mahakama."

HAPO MAKALA KAZUNGUMZA BAYA LIPI?
Tatizo ni kwamba watu wanaomtetea Makonda humu ni mburura hawajui hata basic legal issues kama hizo. Kuna kitu kinaitwa separation of powers. Zerobrain Makonda hana akili je wafuasi wake unategemea watakuwaje?
 
Mafumbo hujaweka halafu unataka mimi nijadili utadhani tulikuwa wote kwenye msafara wa huyo katibu.
 
Kijn ameshndkn ,
Amebebwa na m-mbeleko wa chuma lakn wapi , mwisho wa siku watu yanawatoka
 
Yeye mwenyewe mshamba, amekosa maneno ya kuongea hadi ajibu?
 
Nchimbi yeye ndio ana kigawa chama maana kila mmoja anajua kuwa Rais alikuwa anatukanwa watu wamekaa kimya…na watu walikuwa wanajua fikq wahusika ni Wana CCM .
Ni matusi gani hayo ambayo Rais alitukanwa, mbona hatutajiwi hata moja
 
Hii ni dalili kwamba ndani ya chama kuna makundi na minyukano.

Chama kinafuka Moshi Mkuu.

Ebu ngoja iendelee kunyesha, tuone panapo vuja...🤣
Hakuna Chama kisicho Minyukano...waulize akina Zitto...
 
Shida ni kuwa watu wengi ndani ya CCM, wamefubaa kisiasa, kuhujumiana ndiyo silaha ya kutokea.
 

Shida kubwa CCM hawapendani na kazi yao kubwa ni kuwekeana majungu na kusemana semana badala ya kufanya kaz

Ndio maana TZ ni maskin sana , wanasiasa weng ni wajinga

Huyo huyo Makala alishawahi kusikika akisema nchi haina Rais . That means , hata mama anakuwa snitched na Watu hao hao anaowateua

CCM ni kuwekwa kwando tu
 
Alisema ktk utawala wa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…