Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

Turufu yao ya mwisho ndio hio inayoyoma ccm nayo safari ya kuzimu imewadia
CCM ilikuwepo kabla hata Magufuli hajafikiriwa kuja kuwa Rais na hakuna kilichopungua,tofauti ni kwamba sasa hivi kelele nyingi kwa Magufuli mmesahau kama huko nyuma mlikuwa mnaipigia kelele CCM kutwa,Magu ataondoka ataiacha CCM na mwendo ni uleule tu.
 
Chama cha majungu.

Kimekosa sera za kuwavutia watanzania, wanajaribu kutumia mlango wa kuwachanganya watanzania kwa kutunga na kusambaza taarifa fake! Aumwe, asiumwe, dhiaka za nini? Nenda pg za CHADEMA uone wanavyoripoti kwa kudhiaki na kejeli. Mnasikitisha!

Mlishasema Rais kafariki alipokuwa ziarani mikoa ya kusini. Mkatumia zaidi ya wiki 1 kueneza huo ujinga
Mkaleta uzushi Waziri mkuu naye anaumwa. Mara Katibu Mkuu Kiongozi Bashiru naye hoi.
Mkatumia zaidi ya siku 4 kupika majungu eti Sabaya yuko hoi Kalazwa na wengine wakasema kafariki!

Hiyo itawasaidia nini? Mtapata support ya waiojielewa wachache sana na mnaowalipa kushinda mitandaoni. Ndiyo maana majina yanayotunga story ni yale yale!

Bahati mbaya sana JF inaruhusu kubandikwa threads nyingi zinazozungumzia jambo lile lile na siyo kinyume chake! Ili mradi tu zina mrengo fulani lengo ni kulazimisha kitu fulani kijadiliwe sana

Tafuteni watu wenye akili wawashauri kwenye mkwamo wenu wapinzani. Vinginevyo mnajiporomosha mbele ya watanzania wengi.
 
CCM ndio imetuletea huyu shetani
 
Tunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiliwa na wananchi kisheria.

Mh. John Mnyika
Ibara gani?
 
Kwahiyo J J Mnyika anajimwambafy kwamba yeye ndio boss kwa sababu wakubwa zake wote wamekimbilia Ulaya.

Bure kabisa huyu dogo!
Hivi mbona danadana hizi zinaendelezwa hivi!? kwanini tusiambiwe tu!?

HIVI ANAYESEMA RAIS HAUMWI NA ANAYESEMA RAIS anaumwa, wana tofauti gani kwenye upande wa rumours!? Wanaosema anaumwa Santos sababu ya muda mrefu hajaonekana popote wala kusisikika, wanaosema ni mzima hawasemi kwanini hajaonakana kwa muda huo....

Shemeji basi tujue kweli... BY THE WAY, SIJAWAHI SIKIA BALOZI YEYOTE WA TANZANIA NCHI ZA NJE KUWA NDO MSEMAJI WA AFYA YA RAIS PINDI TAHARUKI KAMA HIZI ZINAPOTOKEA
 
Kwahiyo J J Mnyika anajimwambafy kwamba yeye ndio boss kwa sababu wakubwa zake wote wamekimbilia Ulaya.

Bure kabisa huyu dogo!
Ulichokiandika
1. hakitoi majibu kwa rumours zilizopo
2. Hakimpi ahuheni yeyote
3. Kinaonyesha wewe ni wa aina gani
 
Nyambafu
Hata kura hukumpigia!

Ebu tueleze kwanza
Vikao vya kumjadili Mdee na wenzake kama walikisea ama la vinafanyika lini?
Au imetoka hiyo?
Rais yupo kwenye mfungo wa kwaresima,
ndio wapi huko mkuu
 
The fun part ni kua kuna watu wanaujua ukweli ila hawataki kuusema ktk mitandao ya kijamii kwakua ipo mrengo wa tofauti na walioanzisha huu uzushi, so wanaona wakae kimya wale popcorn zao huku wakiwatazama watunga story kila siku wakija na story mpya inayoelezea au kujustfy ambacho hakijatokea au ambacho wanahisi kitatokea.
Wacha movie liendelee...ikifika the End kuna watu watambuka, ila kwakua washazoea umbea watajikausha km walivyokwisha jikausha ktk uzushi mwingine huko nyuma.
Muda ni mwalimu tosha sana.
 
Si walisema hawatambui matokeo hawa kina mnyika??
I
Dear sister, for how long, will you post both unspecified reports and rumors ?Your husband Tindu was also trying to post unspecified reports, few days ago.Willy you kindly please post to us confirmed report, not those bla bla statement.
 
Do you wish to visit there?
 

Tanzania's government under pressure to disclose whereabouts of President Pombe Magufuli

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…