Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

Swali zuri ,wapi alipo mkuu wa nchi,juzi nilisema ,sie wananchi tusio kuwa na kichwa Wala miguu,tunaamini mh rais yupo na anaendelea na majukum yake ya kitaifa ,Sasa
Hole wenu mjiitao system ,hata Kama ya mziki, umeme,n.k nje na ngojela kwamba Kuna tatizo, tutaelewana, ,alipo popote aje akiwa na afya tele, hapo sawa vinginevyo patachimbika hapa.
Tumekubali kwamba kiongonzi wa nchi ni rahia no 1 na tutamheshim japo mapungufu yake atakayokua nayo so far ni binadam ,hawe anaumwa au la ,awe na matatizo au la maana ni kiongonzi wangu nje ya itikadi ya din,chama, n.k
Sasa jifurahishe Mbatizaji anasema.
Thanks, but najua mh rais yupo na majukum ya kitaifa na si vinginevyo ,na tofauti na Iyo hatutaelewana, maana mmeninyima haki ya kujua mfanyakazi wangu yu wapi, nami Sina shida najua yu salama,
 
wheres this place?Halafu hawa watu jinsi wanavyoogopa kivuli chao wenyewe.Wanaweza kweli wakamrudisha Jiwe Tz huko Mzena Hosp.Ili tu KuJustify utata wao alipo Jiwe kuwa ni kweli.
Makumbusho - DSM
 
Mzena hospital iko Makumbusho hapo tu panapojengwa barabara
 
Magufuli, who is known to have a pacemaker, was developing signs of heart failure, the report says.
Hatari kubwa. CoVID19 ikimkumba mtu mwenye other “underlying health issues” kama huyu tena aged above 50 years, chances za kufa kupona huwa ni 70-30.
 
Kwa hiyo ni kweli kuwa anaumwa? Inajulikana anaumwa na nini? Na kwa nini Taifa linaachwa katika kiza ilhali huyu ni ameajiriwa na kuchaguliwa kuliongoza taifa hili?

Ikiwa ni covid-19, ameipataje ilhali haipo tanzania, hakutoka nje ya Tanzania na hakuwahi kuvaa barakoa kwa sababu zimemwagiwa virusi?

Kila akikaa kimya ndio masuali yatavyozidi. Salama yake ni kuwa waandishi wa habari wote wa Tanzania ni woga.
 
Yupo na ana afya teleee
Hiyo ni taarifa nzuri na mola amzidishie uzima. Yeyote yule aliemstaarabu hamtaki mwenzake mabaya. Hata hivyo ni kwa nini hadi leo hajatokeza hadharani kukanusha uvumi huu, wala wahusika wa habari ikulu pia nao ni kimya? labda mwenzetu ungelifuatilia hili kwa huko uliko patiwa taarifa uliyoileta hapa.
 
Yani kila kinachoongelewa hakina ushahidi wowote ni bora hvyo vyombo vya habar vikae kimya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Raisi wetu kipenzi cha Watanzania kiboko cha Demokrasia kiboko cha Mabeberu mbabe wa corona na mwamba wa Barakoa zenye sumu UKO WAPI?
 

Tanzania's government under pressure to disclose whereabouts of President Pombe Magufuli

Wahenga walisemaga' "Mficha maradhi mcba utamwumbua......!!!"
Kikija kunuka mbona watasema tu wenyewe.....?...!!!Wakti ni ukuta.
 
Hii KTN ni wachonganishi nyie nao ndo wale wale
KTN wana riporti kilochoko mitandaoni na media!!
Hapa wa kulaumiwa ni Serikali ya CCM ambayo imeruhusu uvumi uendelee kwa kunyamaza kimyaaaaaaaa.....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…