Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Acha ubwege wako.wanafiki hao akina mnyika si walisema hawatambui matokeo leo amekua Riasi wao stupidit.............................
Yuko wapi Magufuli semeni ukweli?!mnatafakari kwa lipi nyie wavimba macho
Huo ni unafiki mntakari kwa lipi eti Raisi yuko wapi? wakati nyie ndo number moja kumuombea mabaya fanyeni kazi ya kufufua chama chenu na kumaliza migogoro yenu na akina Halima mdee hamna jipya nyie wanafiki wakubwa
Media za Kenya zikameza ndoano mazima.This angle is plausible.
Wewe/nyinyi ndio "taifa"?Hawa Hawana akili itoshe kusema kuwa hawa ndiyo maadui wake na maadui wa taifa letu.
Kwa hili nawapongeza TISS.Media za Kenya zikameza ndoano mazima.
Kwa style na unafiki wa Serikali hii unaweza kubaini yafuatayo:Ni kweli kabisa nashangaa wanashindwa kusema ukweli
Wameanza kumfokea Israel,shauri zao akiongeza spana tutapoteanaNi kweli kabisa nashangaa wanashindwa kusema ukweli
Kama ni kweli, kama ninavyoamini, kwamba hajaenda kutibiwa Kenya kama habari zinavyosambaa; unauchukuliaje ukimya wa serikali ya Kenya juu ya uvumi huu? Proof of animosity between these neighbors?!Kwa hili nawapongeza TISS.
Haya ni majangaWAPI ALIPO RAIS WETU?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani.
Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli.
Mara ya mwisho kwa kiongozi huyo wa Tanzania kuonekanaka ilikuwa Jumamosi ya Februari 27.
Katika mkutano na wanahabari leo Ijumaa Machi 12, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kuwa wananchi wana haki ya kupata taarifa rasmi kutoka serikalini juu ya kiongozi wa nchi yao.
Viongozi wa chama tulikaa kikao na kujadili baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya kimataifa vikihoji yuko wapi rais Magufuli na baadhi vikienda mbali zaidi na kusema ni mgonjwa na yuko nchi jirani kwa matibabu... Kabla ya tamko hili kumekuwa vuta nikuvute mtandaoni baina ya watu binafsi na baadhi ya viongozi mtandaoni juu ya swali hilo," ameeleza Mnyika.
Juhudi za kumpata Msemaji wa Serikali ya Tanzania kuelezea suala hilo bado zinaendelea.
Akijibu baadhi ya maswali hayo mtandaoni, Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mwigulu Nchemba amesema kuwa: "Kiongozi wa nchi sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuoneka...Kiongozi wa nchi sio mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi na hakuonekana... sio kiongozi wa jogging club anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku..."
Awali kabla yake pia waziri wa habari Sanaa utamaduni na michezo Innocent Bashungwa alionya watu kusambaza taarifa ambazo si za kweli mitandaoni na kwamba wangeshughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Reuters, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ameliambia Shirika la habari la mchi hiyo kuwa rais Magufuli ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake nchini Tanzania.
View attachment 1723546
Hospitali waliulizwa na media. Hawajakubali wala kukataa. Kama hakuwepo kwa nini wasikataeKama ni kweli, kama ninavyoamini, kwamba hajaenda kutibiwa Kenya kama habari zinavyosambaa; unauchukuliaje ukimya wa serikali ya Kenya juu ya uvumi huu? Proof of animosity between these neighbors?!
Jamani Rais wetu ni Mzima anaendelea na Majukumu yake - Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu)WAPI ALIPO RAIS WETU?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani.
Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli.
Mara ya mwisho kwa kiongozi huyo wa Tanzania kuonekanaka ilikuwa Jumamosi ya Februari 27.
Katika mkutano na wanahabari leo Ijumaa Machi 12, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kuwa wananchi wana haki ya kupata taarifa rasmi kutoka serikalini juu ya kiongozi wa nchi yao.
Viongozi wa chama tulikaa kikao na kujadili baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya kimataifa vikihoji yuko wapi rais Magufuli na baadhi vikienda mbali zaidi na kusema ni mgonjwa na yuko nchi jirani kwa matibabu... Kabla ya tamko hili kumekuwa vuta nikuvute mtandaoni baina ya watu binafsi na baadhi ya viongozi mtandaoni juu ya swali hilo," ameeleza Mnyika.
Juhudi za kumpata Msemaji wa Serikali ya Tanzania kuelezea suala hilo bado zinaendelea.
Akijibu baadhi ya maswali hayo mtandaoni, Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mwigulu Nchemba amesema kuwa: "Kiongozi wa nchi sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuoneka...Kiongozi wa nchi sio mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi na hakuonekana... sio kiongozi wa jogging club anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku..."
Awali kabla yake pia waziri wa habari Sanaa utamaduni na michezo Innocent Bashungwa alionya watu kusambaza taarifa ambazo si za kweli mitandaoni na kwamba wangeshughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Reuters, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ameliambia Shirika la habari la mchi hiyo kuwa rais Magufuli ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake nchini Tanzania.
View attachment 1723546
Na kama alikuwepo kwanini wasikubali?!Hospitali waliulizwa na media. Hawajakubali wala kukataa. Kama hakuwepo kwa nini wasikatae
Majaliwa is talking about history of past events. Tunataka kujua hivi sasa yuko wapi? Dar, Dom au Chattoo?Jamani Rais wetu ni Mzima anaendelea na Majukumu yake - Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu)View attachment 1723702
Tunataka kumwona Raisi akiwa anaongeaJamani Rais wetu ni Mzima anaendelea na Majukumu yake - Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu)View attachment 1723702