johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halafu unaweza kutangulia wewe kama hujui mambo ya mungu.Uzi umekosa wachangiaji, habari hii haijawavutia watu, labda ingekuwa Tanzia
Marndeleo Yana vyama.tafakari.Katibu mkuu Kiongozi balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Source Clouds tv.
Maendeleo hayana vyama!
anafuata wwHalafu unaweza kutangulia wewe kama hujui mambo ya mungu.
Amejitambulisha.... Haya mambo ya Bongo mbona yapo kinyumenyume sana!! Most of the time huwa sielewi protocol zetu zikoje!!?Katibu mkuu Kiongozi balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Source Clouds tv.
Maendeleo hayana vyama!
Naomba kueleweshwa huu ubalozi amepewaje, alishawahi kuiwakilisha nch mahali popote kama balozi wa Tz?Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Usishangae kesho meko akiwa dodomaSi walisema apumui😂 Vijana bana
Aliteuliwa ili awe kiongozi wa umma kwa sababu katibu mkuu lazima awe ni kiongozi wa ummaNaomba kueleweshwa huu ubalozi amepewaje, alishawahi kuiwakilisha nch mahali popote kama balozi wa Tz?
Endelea kujitambulisha kila mkoa na kila wizara,mwisho atakutumbua ukiwa kwenye utambulisho .Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Mwanasiasa kuwa katibu mkuu kiongozi ni suala la muda. Atatumbuliwa soonHii tabia ya viongozi wa bara kwenda kujitambulisha Zanzibar mbona imeota mizizi, kwani Katibu Mkuu kiongozi naye ni wa muungano au ni namna ya kupiga per diem? kule nako kuna Katibu Mkuu kiongozi pia lakini wa bara anaenda Zanzibar kujitambulisha sijui kitu gani.
Aliyemteua ni mbovu zaidi yakeMwanasiasa kuwa katibu mkuu kiongozi ni suala la muda. Atatumbuliwa soon
HeheheheAliyemteua ni mbovu zaidi yake