Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

Nadhani hii serikali ya JPM ndio imetufikisha kwa hii nongwa ya watu kuchukiana .....alafu pia nendeni PEMBA mkaongee na masheikh wanaosoma ALBADIRI wanasema kifo cha Maalim kina mkono
 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Maendeleo hayana vyama!

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Maendeleo hayana vyama!

Hata jina na cheo havivutii.
Yani haileti hata mvuto
Ule mkoa wakipanda vyeo wanajiona sana
 
Hii nayo ni habari??
Inaweza kuwa ni Habari kubwa sana!

Refer habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi sana mitandaoni kuhusu hali ya afya ya yule Bwana...........

Unajaribu kuunganisha dots, je ni by coincidence huyo Katibu Mkuu Kiongozi amefanya ziara hiyo kumwona Rais Wa Zanzibar?

Tujiulize hivi ni ma-Katibu Kiongozi wangapi wa hapo awali walifanya ziara ya kumwona Rais wa Zanzibar mara tu baada ya kuapishwa??
 
Nadhani hii serikali ya JPM ndio imetufikisha kwa hii nongwa ya watu kuchukiana .....alafu pia nendeni PEMBA mkaongee na masheikh wanaosoma ALBADIRI wanasema kifo cha Maalim kina mkono
Wewe unamchukia nani? Na sababu gani? Lakini pia yupo aliye kulazimisha kumpenda mtuu?
 
Kwani hawafahamiani hadi ajitambulishe? Sema amemtembelea
 
Back
Top Bottom