issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
Sawa Lissu ni mzushi tumeshampuuza kitambo. Tuambieni sasa alipo mtumishi wetu namba moja John Pombe Magufuli? Sisi waajiri wake tunataka kujua alipo.Hii habari inatosha kutoa ujumbe kwamba maisha Tanzania yana songa mbele. Achaneni na uvumi wa kipuuzi wa Lissu. Lissu kaamua kuwa dalali wa kuombea watu kuumwa nawa chanjo ya corona, kutoka kushindwa kudalalia ushoga Tanzania.. Eti eti eti eti eti! chanjo ina nguvu kuliko kumtegemea Mungu.
Amelaniwa yule amtegemeaye mwanadamu na' vitu'.