Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

Sawa Lissu ni mzushi tumeshampuuza kitambo. Tuambieni sasa alipo mtumishi wetu namba moja John Pombe Magufuli? Sisi waajiri wake tunataka kujua alipo.
 
Akili yako sijui kama ina akili, kwa hiyo viongozi wa Zanzibar hawatakiwi kuja kujitambulisha bara? Itifaki ni kwenda Zanzibar pekee! shame on you
Uelewa wako ndipo ulipoishia, nimekudharau!

Chadema ikiingia ikulu mwaka 3000 utaelewa maana ya itifaki.
 
Akili yako sijui kama ina akili, kwa hiyo viongozi wa Zanzibar hawatakiwi kuja kujitambulisha bara? Itifaki ni kwenda Zanzibar pekee! shame on you
Endelea kuchochea mbege manka!
 
Sawa Lissu ni mzushi tumeshampuuza kitambo. Tuambieni sasa alipo mtumishi wetu namba moja John Pombe Magufuli? Sisi waajiri wake tunataka kujua alipo.
Kwani umeambiwa amepotea?Mbona nyie makarai ya ufipa mnakuwa wajinga wa kiasi cha takataka hivi,Kukiwa na shughuli akihitajika utamuona
 
sawa hajapotea, yuko wapi? maana tumezoeshwa akila mahindi barabarani tunaambiwa, akinunua jogoo kwa kumuuza mama yake tunaambiwa, akienda kusali tunaambiwa.
 
Sawa Lissu ni mzushi tumeshampuuza kitambo. Tuambieni sasa alipo mtumishi wetu namba moja John Pombe Magufuli? Sisi waajiri wake tunataka kujua alipo.

Mwambieni Lissu na vyombo vya mabeberu vya habari uchwara, vikaragosi wa mabeberu na Kenya kuwa vita yao ya mahindi/uchumi walioianzisha kombora la kwanza kuwajibu kuwajibu ndio hilo. Uhalali wao taswira na hedhima yao katika jamii imekuwa zero/ mufilisi.

Hili kombora limeshambulia mpaka mpango wa siri ulionyuma ya biashara ya corona.
 
Tunahitaji kujua yuko wapi mtu ambaye tunamlipa, tunalisha, tunamvalisha na kumtibu kwa kodi zetu? Lissu na mabeberu wa kenya hawatuhusu maana hatuwalipi. Tunamtaka tuliyemuajiri na tunamlipa na kulisha kwa kodi zetu
 
Wakati wa vita iwe ni vya kutumia vifaru au hivi soft vya kutumia akili tu, lazima amirigeshi Mkuu awe mafichoni. Huu ni utaratibu duniani kote.
 
Hivi tanzania tuna vita gani na tunapigana na nchi gani, lini huyo amiri jeshi mkuu alitangazia taifa kuwa tuko vitani?
 
Yule Bashiru ni Mrundi kama Kalemani na Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…