TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mbona mama aliyesema tusitupe sukari ziwani nae hali ni tete!
Nimeukumbuka wimbo wa "Ambassadors Choir" ya Rwanda, waliouimba baada ya wenzao kufa kwa ajali ya basi huko mkoani Mbeya wakiwa ziarani nchini Tanzania. Waliimba hivi, "KWA NINI UMERUHUSU?". Walikuwa wakimlilia MUNGU aliyeruhusu ajali itokee na wenzao wakafa. Hii ni kwa sababu hata Shetani hawezi kumdhuru mwanadamu kama MUNGU hajaruhusu, Kumbuka hadithi ya Ayubu, pale MUNGU alipokutana na Shetani akamhoji, Unatoka wapi wewe? Naye akajibu "Ninatoka huku na huko na humo" .............,....

Mimi ninamlilia MUNGU aliyetuletea utawala huu wenye kiburi cha ajabu na ambacho tulio waamini watuwakilishe wanaendelea kusifu hata pale wanapowashuhudi wenzao wakianguka na kufa kila uchwao. Kilangila.
 
Ramli chonganishi
 
RIP Mzee Kijazi, umetangulia, twafuata nyuma ama kwa ugonjwa au matakwa yake Mwenyezi Mungu..
 

Mzee mwenzangu naona akili imeanza kurudi kwa mbaliiii.
Hii vita haina mwenyewe.

Au tuendelee kupiga nyungu na tangawizi?

Eti Covid imeondoka Tz kwa maombi! Duh.....
 
Most likely vaccinated secretly!
Tuassune Kijazi na Seif nao pia walikuwa vaccinated na yule waziri wa kichina... unadhani "au nasema uongo ndugu zangu" atakuwa katika hali gani leo hasa akijisikia anataka kukohoa?
 
#tuonanepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…