Mungu gani mnazungumzia wenzenu wanakufa mnawakejeli..Mungu gani anaagiza kukejeli watu kipindi cha matatizo ikiwa wewe nawewe upo hapo hapo duniani...Yani mwenzio anazika ndugu unadhani mataifa kama marekani au ulaya hakuna watu wa Mungu mpaka mnawakejeli eti leo mnataka kumuomba Mungu!!?Wewe unataka afe baba yako ndio uone kifo kikuume?
Endelea kudhani kwamba kwa akili zako wewe utaishi milele ila Kumbuka bado ni asubuhi na mchana wako, jioni na hata usiku huvijui... viko mikononi mwa muamuzi wa mwisho
Chukua tahadhari na mwombe Mungu sana
Ikitokea ugonjwa unapita na familia kwann usitilie shaka..space ya mengi na ruge kufa ilichukua muda gani wewe sas leo 2 days 2 public figures kwann usiogopeyani mkuu miaka hii wangekufa wakina mzee mengi ruge watu wangesema ni corona utazani magonjwa mengine hayauwi Tanzania tuko vizuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Tatizo sio siku kufika tatizo kwann ifike kwa pamoja kwa watu wa umri mmoja sahivi. Ny waafrica hizo dini zilikuja za aina mbili za kweli na za kitumwa naona mmeamua kuchagua za mwisho hizo mnaacha kutumia akilihakuna korona..ts just siku zao zimefika..Tatzo wanakufa kpind korona imeshika hatamu..
sawa.sote tunajua changamoto iko arround.chanjo ndo hizo zina malalamiko kibao.mpaka sasa bado hakuna chanjo inayoaminika kuwa na ufanisi,bado ni trial & error.sasa si bora kuchukua tahadhari?ukigoma Kama huchukui hata jitihada mbadala ni kazi bule.sayansi bado haijapata suluhisho Hadi sasa ,kisayansi hakuna chanjo yenye tija ambayo imewahi kutengenezwa kwa miezi 24,ndio maana sijui hiz Astra zenecca na zngine bado zina malalamiko kibao na Visa vingi.kwa kawaida chanjo yenye ufanisi hughalimu Hadi miezi 60 kuitafiti/kutengenezwa.na mzazi mwelevu hawezi kuwatoa wanae kwa majaribio....janga lipo tuchukue tahadhari mbadala.sio kulalama na kugoma ni ujinga wa akili,na upungu wa maarifa.We unadhani kusema jifukizeni inatosha mkuu? Kwa akili yako hiyo ndio hatua watu wanayotaka serikali ichukue?
Jana wafanyakazi wa almashauri Mbeya mjini wamegoma kuingia maofisini, juzi wamepoteza mfanyakazi na jana kadondoka mwengine!
Fikiria mbali acha kuwaza nyungu tu kuwa ndio hatua stahiki wakati hospital PPE's ni chache, motungi ya oxygen haitoshi na wauguzi wako kwenye mazingira mabaya ya kukabiriana na wagonjwa wenye changamoto za kupumua.
Noma kweliNgoma
Utakuwa kajinga pia, mzee alishasema kuweka watu lockdown huo ujinga hatafanya! Sasa ni jukumu letu raia kujichunga! Subiri utangaziwe na serikali tuone kama utasikia!Unajua kutangaza sio kusema tu ipo asee wewe ndo mjinga kweli hujui kwamba hatua za muhimu lazima zifanywe na serikali kama vile kupiga marufuku mikusanyiko,madaladala kuweka utaratibu level seat na mambo mengine
Marehemu hasemwi vibaya lakini Hawa ndo wamelelea mfumo mbovu, uliopelekea kuua demokrasia na uchumiMweeh Kijazi wa watu. Moja ya viongozi niliokuwa nawaelewa. Kwa kweli hali inatisha sana.
RIP.
Ndiyo sina mchango wowote wa maana kwa mtazamo wako. Nakubaliana na wewe 100%. Lakini eh dunia nzima hauko wewe peke yako. Tuko watu karibu bilioni 7 na kati yao kama asilimia moja hivi inawezekana wakawa wanazungumza au kukielewa kiswahili na kati yao kama watu laki tatu ni wasomi wa JF. Sasa wewe huoni kuwa katika hao laki tatu, you are nothing?Huna mchango wowote wa maana ni utopolo tu, mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaza mambo ya kuvunja katiba ili fulani aongezewe muda kwa kipi hasa. Nenda kakojoe ukalale hujui chochote wewe
Ni huyu. Nilikua sehemu haina access na habari leo naingia humu nikakuta comment yako ndiyo maana nikauliza.
Hukuona sokoni walivokuwa wanabadilisha mic na watu sokoni afu we unadhani kuambukizana ni lazima mpaka muwe mmejaa kujaa kunakatazwa kwasababu mtaambukizana wengi ila kuambukizwa ni mmoja 2 anatoshaMkuu sikiliza, acha maneno mengi chukua hatua jilinde. Kama unaona mwendokasi itakuua usipande tafuta njia nyingine au tembea. Hivi ni vita vyako ww na familia yako.
Walioko serikalini wanapanda V8 wanakufa ww unasema mambo ya mwendokasi. Kwa hiyo serikali isipotoa tamko basi ww utajiacha ujifie zako tu?
so do you have any means.lete Hapa tuone.mkiambiwa still bado hakuna chanjo yenye ufanisi vichwa vigumu Kama nazi.wazungu wenyewe bado inawaumiza kichwa na bado wako kwenye trial &error ,ndio maana malalamiko ya hiz chanjo ni mengi.sasa si bora kuchukua tahadhari mbadala kuliko kulalama humu ujinga!!?? kweli kukosa maarifa ni hasara kubwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....nyungu Tena jaman!!!!! Ama kweli ujinga Ni aghali Sana.
Tunamtengaje sasa?
Tunamtengaje sasa?
Nani kakuambia ni Corona? Hakuna Jambo hilo kwenye taarifa tuliyopewa.Naona Corona sasa imeamua kujibu.
Inapiga fresh bara na visiwani.
Poleni wafiwa.
Tuangalie maneno yetu tunalitumia! Vifo havijaanza Leo na havitaishia leo! Hakuna chochote Cha ajabu au Cha tofauti!! Usitake kuleta taharuki!Aisee watu wanakata Moto kwa kasi ya 5G
Yes Mkuu ni Survival of the Fittest- Charles Darwin - Only the Strong Will Survive - PARANAUE -Mark Dacascos.Hii kitu mtu akibisha shauri zake
Mwisho wa siku watu wataendelea kudondoka
Wenye afya njema na nguvu ndiyo wata survive
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Yupi huyo?Kiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Duuuuuh hali ni mbaya kwa kweli lol.Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
Duuuuuh hali ni mbaya kwa kweli lol.Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.