TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Kama uliweka kichwa cha habari hukuweza kuelezea wasifu wa marehem kwa kiswahili ? Sisi wa tz bado sana.
 
dada matusi ya nini? ....... Swali liko pale pale,....je wanaovaa barakoa hawapati covid? je nchi zilizo impose lock down corona imekwisha?.... Je hizo nchi zinazodai kutengenaza chanjo corona kwao imekwisha?..........
Haya maswali ungeenda kuwauliza familia ya kijazi ingekuwa poa sana. Huku hutapata majibu sahihi
 
Mabeberu walisema mwaka jana kuwa itafikia wakati watu watachoka kwenda kuzika,sasa kipindi kinakaribia
Sisi hatusikilizi mabeberu, tunamsikiliza Mungu! Mungu anasema hivi, "kwa kupigwa kwake tumepona"!! Tuamini hivyo maana ndivyo ilivyo, tumepona!! Corona kwishney!!! Asiyetaka kuukubali ukweli huu wa ki-Mungu ajiandae kupokea matokeo yaliyo kinyume!!!!
 
Ikitokea ugonjwa unapita na familia kwann usitilie shaka..space ya mengi na ruge kufa ilichukua muda gani wewe sas leo 2 days 2 public figures kwann usiogope

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
speculation tu hao watu muda wao ulifika sema kwasababu ni kipindi cha corona basi kila mtu amekua msemaji wa serikali kuna watu wangapi sio maarufu leo wamekufa na hauja notisi
 
Hujakatazwa na yeyote wewe endelea na unavyojisikia kuamini
 
Nimeipenda....

If you can't trust God with your medicine you can't trust God with your prayer.

Doctor treats.. God heals.
 
If you cannot trust God with your medicine you cannot trust God with your prayer since God is of nature!! Doctors treat God Heals!
 
... ninyi hususan wewe si ndio mlikuwa mnabeza humu! Janga halibezwi ndugu; watu wanakufa halafu mnaleta maneno ya dharau humu? Eti kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Sasa imepiga penyewe; endeleeni na kebehi zenu!
Tumia akili basi badala hisia! Nimekupuuza! Usiniharibie kwaresma!
 
... akili kubwa ungekaririshwa kuleta ujinga humu? Corona ipo au haipo?
Naona unataka dudus km ilivyo ID yako!! Nani kasema hakuna corona, kaulize kwa mumeo. Au unawashwa kunahitaji dudu wew bibi
 
Naona unataka dudus km ilivyo ID yako!! Nani kasema hakuna corona, kaulize kwa mumeo. Au unawashwa kunahitaji dudu wew bibi
... mimi ndiye dudus; unahitaji nikucharaze? Endelea kuanika utupu wako; kiruka njia wewe.
 
Huyu naye, kwa nini corona tu, kwa nini usimtake rais wetu atangaze kuwa malaria ipo Tz na inaua kwa maelfu kama siyo mamilioni?
Corona corona, kichwa kama corona mfyuuuuuu!
Tulishaambiwa tuchukue hatua ya maombi, dua, na sala, pia tusisahau maelekezo yanayotolewa na wizara ya afya...sasa huyu sijui mkong. Man anamtakia nini sijui Magu wetu!
RIP balozi Kijazi, RIP wote mliotangulia mbele ya haki kwa njia mbalimbali!
Mungu azidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu azidi ibariki Tanzania!
 
Kwani kuwaelimisha watu namna ya kujikinga na corona.Vaa barakoa,nawa kwa sabuni na maji tiririka ingeletaje tahahuri.Lakini sasa hivi ukiangalia channel nyingi hayo haya zungumzwi!
Hayo mambo unayoyasema ya kujikinga na corona yaliachwa kufanywa toka mwaka jana ila pamoja na hivyo bado corona ilipungua tukafanya hadi uchaguzi bila tahadhari zozote,na wakati wote huo majirani zetu wao walikuwa bado wanaendelea na mapambano ya corona kwa kuchukua tahadhari bila kuacha hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…