TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.

Farao kubadili mawazo lazima pigo liwe la kueleweka.

Wako wapi mataga? Vipi hata zamani vifo ilikuwa kwa kasi hii?

Pale Lumumba mpo?

Hali hii hatuitaki tuungane sote kumkabili jiwe. Huyu bwana anakotupeleka siko.
 
R I P. Naona hit after hit...

Nna mwanangu wa miaka 12 just now alikua ananiambia 'mama mie naona kama ntakufa mwaka huu. Maana naona mwaka huu watu wengi wanakufa' Mola atupe umri wa kheri.
AMIN
 
Msako mpaka tuseme ndani bangi ipo ama haipo
Mungu atusaidie asee iwapige wenyewe waliohisi wao ni special sana hawatakufa wakaacha wanyonge huku wafe.
 
Yaani sasa hivi ukizima data kwa dakika kadhaa, ukiwasha unakutana na divai mpya katika viriba vikuukuu... (Kifo kipya kwa chanzo kilichozoeleka)
 
Back
Top Bottom