TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

acha hizo mkuu.
Ni kwambie kitu mkuu, sio imuondoe bali imguse ili ajue kuwa Kuna umuhimu wa ofisi yake kutangaza hali ya yatadhari.

Nikuulize swari, nini mpaka sasa kinachofanyika na wizara ya afya? Tahadhari gani wauguzi na madakrati wamehakikishiwa na serikali? Je wananchi?

Nenda Mloganzira ndio utajua ventilators zilivyona na umuhimu na jinsi zilivyo chache!

Bara zima la Africa peke yetu ndio hakuna report WHO?!
 
Corona ipo Tanzania na sasa imesambaa mikoani hasa mikoa yenye muingiliano wa wageni tokea Nchi Jirani, Dawa ya corona ni Serikali itangaze siku 3 watu watulie majumbani mwao wanywe tangawizi limau waoige nyungu kwa pamoja wafanye zoezi kwa utulivu hakika italeta mapinduzi makubwa sana na kupunguza idadi ya maambukizi zaidi
 
Wacha waongezeke tu siku za kupumzika ziwe nyingi kidogo. Maana matangazo ya kuilipa kodi na kupata vitambulisho vya wajiriamali yamekua mengi sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?🏃🏃
 
Corona ipo Tanzania na sasa imesambaa mikoani hasa mikoa yenye muingiliano wa wageni tokea Nchi Jirani, Dawa ya corona ni Serikali itangaze siku 3 watu watulie majumbani mwao wanywe tangawizi limau waoige nyungu kwa pamoja wafanye zoezi kwa utulivu hakika italeta mapinduzi makubwa sana na kupunguza idadi ya maambukizi zaidi
Tatizo anaona aibu aanze vipi kusimamia mbele ya kipaza sauti?
 
Hapa nakubaliana na Antipas japo naye alipokuja kwenye kampeni alipuyanga hivyo hivyo tu bila barakoa wala nini. Lakini yaliyopita yamepita...it is time to change course and save lives before it is too late...
What's too late while we are now hit badly by covid-19? Ikiwezekana hata Leo asimame mbele ya kipaza sauti atoe muongozo, maabara ya taifa ianze kutoa takwimu. Mpaka tutengwe na dunia kha?!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni kwambie kitu mkuu, sio imuondoe bali imguse ili ajue kuwa Kuna umuhimu wa ofisi yake kutangaza hali ya yatadhari.
Nikuulize swari, nini mpaka sasa kinachofanyika na wizara ya afya? Tahadhari gani wauguzi na madakrati wamehakikishiwa na serikali? Je wananchi?
Nenda Mloganzira ndio utajua ventilators zilivyona na umuhimu na jinsi zilivyo chache!!
Bara zima la Africa peke yetu ndio hakuna report WHO?!
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
 
We unadhani kusema jifukizeni inatosha mkuu? Kwa akili yako hiyo ndio hatua watu wanayotaka serikali ichukue?
Jana wafanyakazi wa almashauri Mbeya mjini wamegoma kuingia maofisini, juzi wamepoteza mfanyakazi na jana kadondoka mwengine!
Fikiria mbali acha kuwaza nyungu tu kuwa ndio hatua stahiki wakati hospital PPE's ni chache, motungi ya oxygen haitoshi na wauguzi wako kwenye mazingira mabaya ya kukabiriana na wagonjwa wenye changamoto za kupumua.
 
5430.jpg
 
Back
Top Bottom