Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Serekali ipi hiyo?Tulipiga makelele sana hapa kuwa Magufuli hafai kuwa Rais ila mkawa mnatubeza!Hali ni mbaya.
Serikali iseme neno
Mungu tunusuru[emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serekali ipi hiyo?Tulipiga makelele sana hapa kuwa Magufuli hafai kuwa Rais ila mkawa mnatubeza!Hali ni mbaya.
Serikali iseme neno
Mungu tunusuru[emoji24]
Ingempiga mwenyewe basi daaaaaaaa,Naona Corona sasa imeamua kujibu.
Inapiga fresh bara na visiwani.
Poleni wafiwa.
Ni kwambie kitu mkuu, sio imuondoe bali imguse ili ajue kuwa Kuna umuhimu wa ofisi yake kutangaza hali ya yatadhari.acha hizo mkuu.
Yeye huwa akiona corona imepamba moto hukimbilia ChatoSerekali ipi hiyo?Tulipiga makelele sana hapa kuwa Magufuli hafai kuwa Rais ila mkawa mbatubeza!
Tunaongozwa na pepoTumekosa uongozi ambao hauna dira.
Ngoja imnase,imeshamkaribia kabisa.
Ndio tutajua njia tunayoelekea.
huyo ni ushuzi ,bwiiiiiiiii[emoji849][emoji849][emoji40][emoji40][emoji40]Hilo ndiyo jina langu Asilia nalitumia mda wote hata hapa South pole watanzania wote wanalijua hili jina waulize watakuambia
magoda yako wewe!!!!Tunaongozwa na pepo
Jihadhari kuwa makini na mizunguko yako. Leo ununue sanitizer😊Hali ni mbaya.
Serikali iseme neno
Mungu tunusuru[emoji24]
Tatizo anaona aibu aanze vipi kusimamia mbele ya kipaza sauti?Corona ipo Tanzania na sasa imesambaa mikoani hasa mikoa yenye muingiliano wa wageni tokea Nchi Jirani, Dawa ya corona ni Serikali itangaze siku 3 watu watulie majumbani mwao wanywe tangawizi limau waoige nyungu kwa pamoja wafanye zoezi kwa utulivu hakika italeta mapinduzi makubwa sana na kupunguza idadi ya maambukizi zaidi
What's too late while we are now hit badly by covid-19? Ikiwezekana hata Leo asimame mbele ya kipaza sauti atoe muongozo, maabara ya taifa ianze kutoa takwimu. Mpaka tutengwe na dunia kha?!Hapa nakubaliana na Antipas japo naye alipokuja kwenye kampeni alipuyanga hivyo hivyo tu bila barakoa wala nini. Lakini yaliyopita yamepita...it is time to change course and save lives before it is too late...
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.Ni kwambie kitu mkuu, sio imuondoe bali imguse ili ajue kuwa Kuna umuhimu wa ofisi yake kutangaza hali ya yatadhari.
Nikuulize swari, nini mpaka sasa kinachofanyika na wizara ya afya? Tahadhari gani wauguzi na madakrati wamehakikishiwa na serikali? Je wananchi?
Nenda Mloganzira ndio utajua ventilators zilivyona na umuhimu na jinsi zilivyo chache!!
Bara zima la Africa peke yetu ndio hakuna report WHO?!
haiwezi kutokea.Ingempiga mwenyewe basi daaaaaaaa,
Aondoke tuu huyu sheitwani
We unadhani kusema jifukizeni inatosha mkuu? Kwa akili yako hiyo ndio hatua watu wanayotaka serikali ichukue?tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
Mwana wanachosha sana hawa watu wanakula mema ya nchi kivyao tu na bado wanatukamua kila kukicha. Wacha wakapumzike kwa amani bana. 🙏
Wapi Pasco wa jf?!!!Wakuu namuulizia member mwenzetu maharufu Nyani Ngabu mahali alipo maana sijamuona muda mrefu sana wakuu