Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
[emoji23][emoji23] We jamaa umenchekesha asubuh asubuhi. Umeongea kama mwenyewe vile.Mficha malazi kifo humuumbua, nasema uongo ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] We jamaa umenchekesha asubuh asubuhi. Umeongea kama mwenyewe vile.Mficha malazi kifo humuumbua, nasema uongo ndugu zangu?
Mke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Namba Moja (Baba) na Namba Mbili (Mama) wako salama kama huyu Mtendaji wao Mkuu wa karibu Kafyekwa (Kapukutika) nao.
Most likely vaccinated secretly!MEKO
Umenikumbusha kauli ya mjomba wangu, mwaka jana Feb alisema me mwaka huu sitaumaliza nitakufa. Ni kweli, mwezi wa 6 akavuta. So jaribu kuwa naye karibu sn huyo mtoto, mtoe hofu na mpe mafunzo mazuri hasa kwenye dini na kufanya ibadaR I P. Naona hit after hit.
Nna mwanangu wa miaka 12 just now alikua ananiambia 'mama mie naona kama ntakufa mwaka huu. Maana naona mwaka huu watu wengi wanakufa' Mola atupe umri wa kheri.
amechanja tayariHakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.
Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.Mke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.
😂😂😂 watashangaa watakapogundua kuwa uongozi wa juu wa China umepata Pfizer vaccine.Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
TupenyezeeKiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Makamu aliyekua na wake wawili.Tupenyezee
Amini Ndugu hakuna aliye Salama ndani ya hayo Majengo na kwa usichokijua hivi sasa hadi baadhi ya Watendaji wanaogopa Kuingia ndani na Kukimbiana ( Kukwepana ) kwa Hofu Kubwa iliyotanda. Huenda Maafa makubwa ya Vifo Mwendelezo kutoka huko huko yakaendelea.Itaingiaje wakati milango ya jengo linalindwa na kila aina ya nyenzo. Mdudu ni kiumbe mdogo anaweza akadhibitiwa kirahisi. Acha uzushi!
Awamu ya nne? penyeza basiKiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
InasikitishaMakamu aliyekua na wake wawili.
Ata tangaza Mara ngapiii?? Mbona alishatahadhalisha mda mrefuuu.
Mtaalam wa Nyuklia aliyeishia tu kuwa Mwanasiasa Tanzania. Kuna Mtu nahisi atahudhuria Misiba ya VIP"s Wenzake hadi atagoma kwa Kuchoka japo hata Yeye akizubaa Watu wanaweza wakahudhuria Msiba wake.Makamu aliyekua na wake wawili.
Wasaidizi waandamizi wameanza kupata barafu miguuni.Mtaalam wa Nyuklia aliyeishia tu kuwa Mwanasiasa Tanzania. Kuna Mtu nahisi atahudhuria Misiba ya VIP"s Wenzake hadi atagoma kwa Kuchoka japo hata Yeye akizubaa Watu wanaweza wakahudhuria Msiba wake.