TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

R I P. Naona hit after hit.

Nna mwanangu wa miaka 12 just now alikua ananiambia 'mama mie naona kama ntakufa mwaka huu. Maana naona mwaka huu watu wengi wanakufa' Mola atupe umri wa kheri.
Umenikumbusha kauli ya mjomba wangu, mwaka jana Feb alisema me mwaka huu sitaumaliza nitakufa. Ni kweli, mwezi wa 6 akavuta. So jaribu kuwa naye karibu sn huyo mtoto, mtoe hofu na mpe mafunzo mazuri hasa kwenye dini na kufanya ibada
 
Hii Corona ilitupa nafasi kama miezi minne ya kujiandaa kukabiliana nayo, badala yake tukashangilia imeisha, sasa imerudi kwa nguvu imetukuta hatukumbuki hata silaha tuliziweka wapi, tunatafutana, kama tungechukua hatua madhubuti wakati ule, naamini leo tusingekuwa hapa.
 
Mke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.
Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
 
😂😂😂 watashangaa watakapogundua kuwa uongozi wa juu wa China umepata Pfizer vaccine.
 
Itaingiaje wakati milango ya jengo linalindwa na kila aina ya nyenzo. Mdudu ni kiumbe mdogo anaweza akadhibitiwa kirahisi. Acha uzushi!
Amini Ndugu hakuna aliye Salama ndani ya hayo Majengo na kwa usichokijua hivi sasa hadi baadhi ya Watendaji wanaogopa Kuingia ndani na Kukimbiana ( Kukwepana ) kwa Hofu Kubwa iliyotanda. Huenda Maafa makubwa ya Vifo Mwendelezo kutoka huko huko yakaendelea.
 
Back
Top Bottom