Rais huyu?Poleni familia, Wahamasishe watu wachukue tahadhari sana. Wanaotaka kujifungia wajifungie, wengine tahadhari kubwa.
Rais kubali Chanjo za Pfizer zitapunguza vifo.
Hospitalization.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais huyu?Poleni familia, Wahamasishe watu wachukue tahadhari sana. Wanaotaka kujifungia wajifungie, wengine tahadhari kubwa.
Rais kubali Chanjo za Pfizer zitapunguza vifo.
Hospitalization.
...Nasubiri kuona kama atahudhuria mazishi ya hawa waheshimiwa with bare hands and face maana nchi hii haina Corona; ni vimafua tu!Wewe una uelewa huo. Trust me kuna mijinga mingi sana inawasikiliza wanasiasa kuliko madaktari na hata Mungu...
Ahudhurie akiwa barehand? Akihudhuria makaburini mi naacha na Serengeti Lite rasmi... nasubiri kuona kama atahudhuria mazishi ya hawa waheshimiwa with bare hands and face maana nchi hii haina Corona; ni vimafua tu!
Wanyonge wanakufa kimyakimya na wala idadi yao haina umuhimu sana. Hao wa juu wakifa ndio utasikia kwamba wamefariki dunia na mlolongo wa salamu za rambirambi.Asee ipunguze punguze hao wajuu kwanza kabla ya kufika kwetu wanyonge.
Tahadhali ya nini wakati baba yako unayemsifu na kumuabudu kasema Tanzania hatuna Corona? Mnayesifu na kuabudu "This unscientific and unreasonable Devil", mnashiriki kusababisha vifo hivi. Kilangila.Kuchukua tahadhari hadi uambiwe na serikali? Are u serious?
kiongozi gani mwingine amefariki ukimtoa huyu katibu?Halafu Kijazi muda mwingi yupo na MEKO kwenye uapizaji.
Kulala atalala, kuzika je?Ndio maana yake usiku wa leo Mh. Magufuli atalia sana sidhani kama atalala usiku wa leo..
Sio mkewe tu please nenda Hosp zote za Tanzania uwone wagonjwa wanavyopigania maisha yao, halafu una waziri wa afya anafanya utani na viclip vyake huku anacheka, una katibu wa afya anatembea na kupiga picha hakuna wagonjwa wako wa tatu wengine kawaida tuu wanasukari. sukari? mamilioni ya watu wana sukari miaka yote tumeona haya? katibu wa afya kama yuko na anaogopa Mungu basi angetuma barua ya kujiuzulu, wasiri wa afya angesema samahani na angeachia ngazi. sisemi kama ni hawa tu tatizo ila itakuwa mwanzo wa kuanza upya katika hili. wajitoe kafara basi.Na mkewe nasikia pia hali siyo nzuri pale MNH
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Hatuwezi kuyashinda matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo". Tuendelee kuchukua hatua, tuendelee kujilinda. The situation is alarming. Kwaheri Balozi Kijazi.!Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.
WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi
CURRICULUM VITAE
NAME: John William Herbert Kijazi
BORN: 18 November 1956
MARITAL STATUS: Married
CHILDREN: Has three sons
EDUCATION
CAREER
- Bachelor of Science (Honours) in Civil Engineering, University of Dar es Salaam, Tanzania
- Masters of Science in Highway Engineering, Birmingham University, UK
LANGUAGES
- 1982 – 1986 Assistant Executiver Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1986 – 1996 Regional Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1996 – 1999 Senior Road Maintenance Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1999 – 2002 Director of Regional Roads, Ministry of Public Works, Tanzania
- 2002 – 2005 Permanent Secretary, Ministry of Public Works, Tanzania
- Jan – Nov 2006 Permanent Secretary, Ministry of Infrastructure Development, Tanzania
- Dec 2006 – Jun 2007 Special Duties, Minstry of Foreign Affairs and International Cooperation HQTS, Tanzania
- Jun 2007 High Commissioner to India
- 27 May 2013 High Commissioner to Singapore
English, Swahili
Anaweza akawepo maana huyu alikuwa zaidi ya ndugu kwake.Kulala atalala, kuzika je?
kiongozi gani mwingine amefariki ukimtoa huyu katibu?
Wengi tu mkuu.kiongozi gani mwingine amefariki ukimtoa huyu katibu?
Mkuu acha kabisaMmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
RaisJamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Kwa hali hii; tutanyoa sana vipara mpaka viote sugu. RIP Balozi Engineer Kijazi. Mungu awalinde watoto na nduguze. Amina.Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.
WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi
CURRICULUM VITAE
NAME: John William Herbert Kijazi
BORN: 18 November 1956
MARITAL STATUS: Married
CHILDREN: Has three sons
EDUCATION
CAREER
- Bachelor of Science (Honours) in Civil Engineering, University of Dar es Salaam, Tanzania
- Masters of Science in Highway Engineering, Birmingham University, UK
LANGUAGES
- 1982 – 1986 Assistant Executiver Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1986 – 1996 Regional Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1996 – 1999 Senior Road Maintenance Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
- 1999 – 2002 Director of Regional Roads, Ministry of Public Works, Tanzania
- 2002 – 2005 Permanent Secretary, Ministry of Public Works, Tanzania
- Jan – Nov 2006 Permanent Secretary, Ministry of Infrastructure Development, Tanzania
- Dec 2006 – Jun 2007 Special Duties, Minstry of Foreign Affairs and International Cooperation HQTS, Tanzania
- Jun 2007 High Commissioner to India
- 27 May 2013 High Commissioner to Singapore
English, Swahili
Asee mkuu bado hujajielewa wanyonge gani nenda sehemu zenye baridi huko Moshi na Arusha ndo utaona watu wanavyopukutika.Asee ipunguze punguze hao wajuu kwanza kabla ya kufika kwetu wanyonge.
Unajuwa kazi ya serikali ni nini?? kazi yao kutoa miongozo sahihi kulinda wananchi wake wizara ya afya kazi yake nini? kula mananasi?? wakati tatizo lipo wao wako busy waziri na katibu wa afya kwenda katika media kupiga mapicha kuwa hatuna shida wako wagonjwa watatu tu wengine wana sukari na pressure tu, unatuma ujumbe gani kwa watu? watu wameanza kuvaa barakoa bila kuambiwa ila wao viongozi wa serikali hawataki kuvaa wanatuma ujumbe gani? wanashindwa kufunga shule maana watoto wako strong ila hawa ndio watawaletea magonjwa home na vijana. mimi nimesha zuia mtoto wangu kwenda shule mimi binafsi na liwalo liwe ila serikali inafanya nini? kazi yao nini? kula mananasiKuchukua tahadhari hadi uambiwe na serikali? Are u serious?