Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

Andika ujinga wako lakini mali za CCM bado mtazitapika tu.

Bashiru hana muda wa kupoteza kwa huo ujinga wako.

Sina uhakika kama wewe ni mwana CCM bali una chuki zako tu.

Wana CCM hawapo wajingawajinga kama wewe kwenye mambo ya msingi.
Toka ripoti ya hizo mali imetoka na hakuna hatua yoyote mpaka leo, na enzi hizo chama kilikuwa chini ya dhalimu, ndio itakuwa kuzitapika kwa huyu mama?
 
Kwanini mama "asitrepu" simu zake ili kugundua kama ni snitch? Kigogo2014 kasemaje kwanza kuhusu hilo?
 
Huyo Muhutu mpeni kesi ya uhamiaji haramu
 
Hakuna mtu wa kucheza na Urais wa Mama Samia.
Jeshi letu lipo imara sana .
Mtu yeyote atakayejaribu kumvuruga mama ajiandae kupambana na wanaharakati huru walionazana nchini kote ktetea Mama Samia.

Hakuna cha Bashiri au Bashiru. Amirat mkuu wa Majeshi Mama Samia Hassan Suluhu.Wajiandae tu mana Hawataamini watu tulivyo na mahana kwa Mama yetu mpendwa.
Tutampigania Mpaka 2030.
Tutaheshimiana tu kidogo kidogo. ngaoja tuonyeshane makali.
 
Jinga kabsaa wewe kwan mama anashindana na nani ?
 
Hii ni topic ya mwanachadema FULL uchonganishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…