SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Amejichafua mwenyewe akidanganywa na wakina Gwajima.Acha kumchafua Bashiru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejichafua mwenyewe akidanganywa na wakina Gwajima.Acha kumchafua Bashiru
Wewe mjinga wa kuletwa utawajuaje wenye chama chao?we ndio nani..mbona hatukujui?
Wewe mbona umefatilia?Uongo uongo tu. Amewanyang'anya mali za chama nyie ndio mnaoteseka. Bashiru kuzuia mama asipate asilimia 100 inasaidia nini? Wajinga tu ndio watafuatilia post yako na kuona umeandika topic ya maana.
Hapo chama na nchi vinakutania wapi?Kwenye siasa kufuata makundi na falsafa fulani inaruhusiwa. Lakini hili jambo la kumchukia Bashiru kwa kua alitimiza majukumu yake vizuri na wewe ukaathirika si vema.
Kumgombanisha na Rais si sawa na ninaamini Rais ana vyombo ambavyo vinamsaidia na vitasema km Bashiru ni threat au la.
Ifike mahala tuwe tunareason kidogo tuache majungu na fitina ambazo hazitasaidia kujenga nchi hii.
Mimi na wewe tunaowajibu wa kujenga nchi hii kwa kutoa mawazo ya kujenga sio kufitinisha.
Rais pia anapaswa kutulia naona kuna miruzi mingi mno kipindi hichi.
Rudia tukio la Mpango kua approved VP.100% maana yake ni nini?
..Na ume comment...kwa maana hiyo nawe ulifuatilia!Wajinga tu ndio watafuatilia post yako
Ni huko CCM kwa wapishi maarufu wa takwimu. Utamaduni wa ovyo wa kuonesha kwamba mtu anakubalika. Yaani akipata 74% hawi Mwenyekiti?100% maana yake ni nini?
Ccm itatumia dola kubaki madarakani.Kwenye siasa kufuata makundi na falsafa fulani inaruhusiwa. Lakini hili jambo la kumchukia Bashiru kwa kua alitimiza majukumu yake vizuri na wewe ukaathirika si vema.
Kumgombanisha na Rais si sawa na ninaamini Rais ana vyombo ambavyo vinamsaidia na vitasema km Bashiru ni threat au la.
Ifike mahala tuwe tunareason kidogo tuache majungu na fitina ambazo hazitasaidia kujenga nchi hii.
Mimi na wewe tunaowajibu wa kujenga nchi hii kwa kutoa mawazo ya kujenga sio kufitinisha.
Rais pia anapaswa kutulia naona kuna miruzi mingi mno kipindi hichi.
Wameua chama kabisa bashiru na genge lakeHizo mali ndiyo zimeshakwenda hizo! Hakuna wa kuzitapika tena! Muanzilishi wa huo mkakati ameshakwenda zake. Ccm imesharudi kwa wenyewe!
Bashiru na ccm wenzake makinikia, wataishi kama Mamluki tu ndani ya chama! Yuko wapi Polepole? Yuko wapi Ole Sabaya? Yuko wapi Albert Chalamika? Yuko wapi Kheri James?
Kwisha habari yao!!!
Sukuma Gang siyo wote ni Wasukuma,waasisi ni wahutu waliojivika usukuma.Bashiru siyo msukuma
Mwenye chama sio lazima umjuwe aliye kuajiri!!we ndio nani..mbona hatukujui?
Imeshawiva bado kupakuliwa tu.Ile ripoti ya siaiji ya miezi mitatu hivi imetoka?
Amini tu ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga!Huu ni uchochezi na uzandiki dhidi ya Dr Bashiru.
Acheni kuchafua watu