Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Taratibu jamani makada msitupigie kelele tuko kwenye mfungo wenzenu msioje kutoana macho bureAndika ujinga wako lakini mali za CCM bado mtazitapika tu.
Bashiru hana muda wa kupoteza kwa huo ujinga wako.
Sina uhakika kama wewe ni mwana CCM bali una chuki zako tu.
Wana CCM hawapo wajingawajinga kama wewe kwenye mambo ya msingi.
Hivi nani aliwaambiaga mikiiua chadema ndio mtatawala kwa raha ... ona sasa mmeua upinzani wa nje umezaliwa wa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mnparurana kama mapaka shume mtauana buree [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbukeni kuna Mungu ... hamjajifunza tu kwa Marehem maana saivi anakula mkurutu wa Jahanam ham hana anajuuuuuta kuzaliwa huko alipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]