Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

Ki utaratibu rais ndio mwenyekiti wa chama, Dr Bashiru atazuiaje?
 
Outsider ndio nini! Ccm ni chama chetu wote! Kama siyo mpinzani basi ww ni ccm!
 
Asante sana kwa huu ujumbe utakuwa umewafikia vizuri.
Mama kushunda ni ushindi wa haki kwani hata hapo alipo ameshashinda
 
Hii movie mungozaji wake ni mwasirika wa mitama na mateke ya shingo ngoja tuiangalie lkn duuh!
 
Kama Bashiru amefuatiliwa na kuonekana nyendo zake, ina maan ana wafuasi anaowatembelea.
Mkuu hebu tupe fununu nani hao tuwajue?
Information is power!
 
Majungu kwa mzee Bashiru,mama kam-demote kwa kufuata ushauri wa wadau wenu.
 
Unalazimisha chuki mahala haipo, na mnazungumza pembeni bila kuzungumza na muhusika, hayo ni mawazo yako binafsi tena ya kutengeneza bila msingi, au kushawishiwa uandike, pole sana.

Hatuwezi kuongea hapa kwa wakati huu sisi tuliopata kuongea nae kwa undani bila ruksa yake Dr. Bashiru mwenyewe, lakini unacholazimisha kieleweke kwa Jamhuri ya JF hana kabisa kichwani kwake. Labda ungesema Ana nia ya kugombea ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM tunge kuelewa.

Mama Samia usilazimishiwe chuki na watu kwa kitu ambacho hakipo. Kwanza kwa silka yake Dr. Bashiru ni mtiifu, mwaminifu, na anategemewa ( you can trust and depend on him).

Amejifunza mengi na yuko tayari kuendelea kujifunza. Na anasema kwenye siasa unabaki mwanafunzi mpaka siku unaondoka kwenye uwanja wa siasa.

Tuache kutoa maoni ya kichwani mwako, mjitahidi kuongea na wahusika kabla ya kuandika, mnawaumiza watu sana, nadhani katika hali kama hizi ndio kuzaliwa roho za visasi.

Tusitumiwe haitusaidi.
 
Back
Top Bottom