Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

Mama samia anagombania uenyekiti akichuana na nani?
 
Kama wewe ni Mwana Ccm kwani huna namba zake ukawasiliana naye?
Kwani unadhani Dr Bashiru anatumia Jamii forum?
Tuhuma ambazo unamshutumu kwamba anafanya juhudi ili Mheshimiwa Rais SSH asipate 100% ya kuteuliwa kuwa Mw/kiti wa Ccm, Je! Una ushahidi na hilo?
 
Wameanza kugombea fito wakati wanatakiwa kujenga nyumba mmoja
 
Huu Uzi wa kumtuhumu Bashiru Ni Uzi wa kijinga Sana.Ni mtu mjinga TU Kama Wewe atausoma huu Uzi wako na kukuunga mkono.Toa uthibitisho wa hoja yako IONYESHE ushahidi wa jinsi Bashiru anavyomhujumu mama Samia,na Sisi tuuchambue huo uthibitisho wak😵therwise,kwa kimyaa !
 
Na Mama Samia ili Atawale Vizuri ndani ya Chama na Serikali lazima ndani ya Chama ateue Watu wapya kabisa wenye Majina mapya kabisa katika nafasi ya KM, Sekritalieti ya Chama na Wajumbe wa Kamati Kuu Waliopo ni KIKWAZO KWAKE wanamuandaa Mtu wao 2025.
 

 
Akili za ma ccm bhana
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
 
Chama cha wauaji mnatoana roho tu
 
Umekuwa ukifatiliwa sana mara kwa mara na tumegundua unafanya juhudi kubwa sana ili Mama asipata asilimia 100. Unasumbuka na unahangaika. Tarehe 30, April unaenda kupata pigo takatifu la Mwaka.
haya mambo ya ukanda waliyayojenga na mtangulizi wake ndio yanawatafuna.
Anatakiwa kufahamu kuwa kila jambo Mwenyezi Mungu ana makusudi nalo.
Walijipa vyeo kikanda, dhambi ile ya ubaguzi itawatafuna sana sana.
 
Enyi ma CCM parurareni na mtoane hata macho, ikiwezekana mchinjane kabisa ilimradi tu nchi yetu ipone!
 
Ushauri wangu kwa dk bashuru akimaliza kipindi chake Cha ubunge arudi akafundishe. Akiendelea kupambana na wenye chama atakwenda na maji.
 
Huyo bashiru,bashe,rostam na hao wabunge wasukuma mtaishia kushindwa tu
 
mkuu kati ya comment zilizonifurahisha leo na kutengeneza siku yangu ni hii, team magufuli standard oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…