Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Molemo hayo mengine Ni yakwako wacha nijikite kwenye kipe ninacho kimanya

Unapotumia namba mfano 1,2,3 wa namba moja anakua na nafasi kubwa zaidi kuliko namba tatu, Ni vyema unapojaribu kufanya Jambo ambalo halina uthibisho ukatumia bullet (*) kwakua hapo yeyote anakua katika nafasi Ile ile aliyonayo mwenziwe.
 
Hai wote wanazijua fitina za siasa Ni wavumilivu wataweza kupata mtaji wa wanachama
 
Niwe muwazi siku nikisikia heche katibu mkuu basi itakua rasmi kuomba kadi yachadema ili niwe mwanachama
 
Mkuu, John Heche ndie anatosha hasa kwa aina hii ya Utawala uliopo.Mnyika ni mzuri lakini ni laini laini sana ,hiyo nafasi anatakiwa Mtu jasiri sana na mwenye msimamo thabiti.
Utakuja badili kauli na kumwita Dikteta
 
Yaani hawa wote hakuna wakuandika report hata ya page mbili, chama kitaongozwa na wajinga watupu
 
Back
Top Bottom