Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

tindo,
Umeliona hilo eeh! Hats Mimi sijafurahishwa na tabia ya kiccm aliyoonyesha baada ya kubwagwa!
Waliokuwa wapigakura ni wenzake wa kanda hiyohiyo ya Mashariki hivyo wanamfahamu. Angetoa kauli ya kukubali kiungwana na kuwapongeza wapiga kura hakika heshima yake ingekuwa kubwa mno na hata angependekezwa kuchukuwa kiti baraza LA wazee. Lakini ndio hivyo tena!
 
Dr Mashinji anamaliza muda wake lakini Mbowe anaendelea.........Chadema bhana!

Katibu mkuu nampendekeza Godbless Lema!
 
Achana na hawa wajinga, hapo hakuna wakumfananisha na Mnyika, hata sisi tusio chadema, tunajua kuwa Mnyika ni jembe la kipekee. Tukiwacha unafiki wa kisiasa, na tukiwa wazalendi haswa, huyo kijana ni wakujivunia kwa watanzania.

Bahati mbaya kisiasa tunapenda watu wenye vichaa au walaghai.
Leo akina Heche ni zaidi ya Mnyika sio [emoji848][emoji848]
 
Molemo,
 
Heche Mimi namkubaii anajua kujenga hoja na kuitetea halafu sauti yake daa! Bunge hutulia tuli kumsikiliza.
 
Achana na hawa wajinga, hapo hakuna wakumfananisha na Mnyika, hata sisi tusio chadema, tunajua kuwa Mnyika ni jembe la kipekee. Tukiwacha unafiki wa kisiasa, na tukiwa wazalendi haswa, huyo kijana ni wakujivunia kwa watanzania.

Bahati mbaya kisiasa tunapenda watu wenye vichaa au walaghai.
Kwa hiyo huko kwenu mnaongozwa na kichaa?
 
Kwa maoni yangu mwalimu ili kuleta usawa wa muungano
 
Mimi ni mpiga kura wa nafasi kuu, hata kama tungekuwa na nafasi ya kupiga kura kwa katibu mkuu basi ningempendekeza mh Heche Molemo,
 
Mashinji kubakia cdm ilikuwa ni nguvu ya lowasa
Mbowe anapendezwa akikaa na zezeta kama Mashinji, huyo Mashinji hakupaswa kuwepo kwenye hiyo nafasi mpaka muda huu.
 
Back
Top Bottom