Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Naona inamuogopa sana Heche
Mnyika acha siasa tu ndugu yangu. Bora urudi kwenye utume uhubiri injili kupitia jukwaa la Karistimatiki Katoliki. Hakuna watu serious wa level zako zaidi ya maigizo.

Mungu akuongoze kwenye utume mpya atakaokuchagulia.
 
John Mnyika can be best Secretary General than the current one
 
Katika hiyo list yako muongeze Marcus Albanie, huyu aligombea hata uchaguzi uliopita, kwa mshangao wa wengi akapewa huyo mzigo Mashinji. Marcus ni mjenga hoja mzuri na ana ufahamu wa kutosha wa siasa zetu.

Hilo kosa la kuwa na katibu mkuu kama Mashinji kumeifanya cdm kukosa mtendaji mzuri wa nafasi hiyo adhimu.

Halafu hakikisheni Sumaye haingii tena kwenye vikao muhimu vya chama, nadhani mliona ule utetezi wake wa kiccm baada ya kushindwa.
Hapa ndipo napoona huko chadema kuna matatizo, yaani sumaye leo hii ndo mnajifanya mmemshtukia? Siku zote hizo alizokaa??
Haya, na nyalandu lini mtahakikisha haingii kwenye vikao? Au bado hamjamshtukia?
 
Sumaye alikwenda chadema akaitwa shujaa leo anataka kuongea na wanahabari anaitwa pandikizi. Lowasa hivyohivyo. Hapo chadema basi mapandikizi yako mengi. Ngoja tusubiri tumsikie Sumaye leo kama ataongea
 
Heche na Mnyika is the best japo heche ni better zaidi na mnyika ni best candidate
 
Hapa ndipo napoona huko chadema kuna matatizo, yaani sumaye leo hii ndo mnajifanya mmemshtukia? Siku zote hizo alizokaa??
Haya, na nyalandu lini mtahakikisha haingii kwenye vikao? Au bado hamjamshtukia?

Hata choroko uzipike vipi kuna ambayo haitaiva. Hao wachache watu watakaa nao kwa akili.
 
John Heche wasipompa ukatibu mkuu basi wampe unaibu.Jamaa ni jembe sana kwa siasa za sasa hapa nchini.
 
Sumaye alikwenda chadema akaitwa shujaa leo anataka kuongea na wanahabari anaitwa pandikizi. Lowasa hivyohivyo. Hapo chadema basi mapandikizi yako mengi. Ngoja tusubiri tumsikie Sumaye leo kama ataongea
Watajijua na siasa zao za kimaslahi
 
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama Taifa amemteua John John Mnyika kuwa Katibu Mkuu Chadema

Pia Mbowe amewateua Benson Kigaila kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

Katika uteuzi mwingine Kiongozi huyo mkuu wa Chadema amemteua John Heche kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Baraza Kuu kwa kauli moja limeridhia uteuzi huu wa Mwenyekiti wa chama na shangwe zimetawala katika ukumbi huu wa Mlimani city.
 
Back
Top Bottom