Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atakuwa kati ya hawa...

Nafasi ya Katibu Mkuu inapaswa awe mtu ambaye si Mbunge maana Katibu Mkuu ni Mtendaji wa Chama Kioa siku.
 
Molemo hayo mengine Ni yakwako wacha nijikite kwenye kipe ninacho kimanya

Unapotumia namba mfano 1,2,3 wa namba moja anakua na nafasi kubwa zaidi kuliko namba tatu, Ni vyema unapojaribu kufanya Jambo ambalo halina uthibisho ukatumia bullet (*) kwakua hapo yeyote anakua katika nafasi Ile ile aliyonayo mwenziwe.
Mi nimekusoma kiaina ila mbona hata hio bullet ndani yake kuna Star tena iko juu, hebu weka kwa watu watatu😂
 
Mkuu, John Heche ndie anatosha hasa kwa aina hii ya Utawala uliopo.Mnyika ni mzuri lakini ni laini laini sana ,hiyo nafasi anatakiwa Mtu jasiri sana na mwenye msimamo thabiti.
Basi mchagueni Meya wa Ubungo maana ni bouncer kuliko Heche ..
 
Katika hiyo list yako muongeze Marcus Albanie, huyu aligombea hata uchaguzi uliopita, kwa mshangao wa wengi akapewa huyo mzigo Mashinji. Marcus ni mjenga hoja mzuri na ana ufahamu wa kutosha wa siasa zetu.

Hilo kosa la kuwa na katibu mkuu kama Mashinji kumeifanya cdm kukosa mtendaji mzuri wa nafasi hiyo adhimu.

Halafu hakikisheni Sumaye haingii tena kwenye vikao muhimu vya chama, nadhani mliona ule utetezi wake wa kiccm baada ya kushindwa.
 
Mnyika acha siasa tu ndugu yangu. Bora urudi kwenye utume uhubiri injili kupitia jukwaa la Karistimatiki Katoliki. Hakuna watu serious wa level zako zaidi ya maigizo.

Mungu akuongoze kwenye utume mpya atakaokuchagulia.
Kweli kabisa. Miaka ya hivi karibuni kwa sie tunayemjua Ndugu Mnyika, amejiegemeza zaidi katika Roho na Upatanisho wa Nafsi katika Kristo kuliko siasa kitu ambacho katika ulimwengu wa kiroho ni jambo jema sana.

Anasali sana. Anajinyenyekeza sana mbele ya Mungu na Imani yake. Amefanyika baraka sana katika eneo hilo.

Katika ulimwengu wa siasa amepwaya. Amechoka anafanya kwa sababu ni kazi tu, Ola hana passion nayo kabisa.

Bado namheshimu sana. Ni moja kati ya vijana wenye akili sana. Mwenye nidhamu ya maisha anafaa akapewa au kufanya kazi katika serikali isiyo ya jukwaani kama ukatibu Mkuu.

Thanks for you Mnyika!
 
Leo akina Heche ni zaidi ya Mnyika sio [emoji848][emoji848]

Acha hizo, unamshauri aondoke, kisha unashangaa watu wakitoa maoni yao! Haya ni maoni kutoka kwa kila mtu ili cdm isirudie kosa la kupata mtu asiyefit kwenye eneo hilo.
 
Mnyika acha siasa tu ndugu yangu. Bora urudi kwenye utume uhubiri injili kupitia jukwaa la Karistimatiki Katoliki. Hakuna watu serious wa level zako zaidi ya maigizo.

Mungu akuongoze kwenye utume mpya atakaokuchagulia.
Mnyika ni mwanajumuia ya Karismatiki?
 
Hawa wote nafikiri wana kesi. Tuombee kwanza wapone kule ndipo tube kwenye hii hoja but Kwangu wote wazuri. Navutiwa na Heche vile anavyotamba Bungeni. Ni mwasilishaji mzuri sana wa hoja. Mnyika ana nafasi yake kubwa tu.

Hakuna mtu anaogopa kesi ya kubambikiwa. Huyo anayeelekeza mahakama zitoe vipi hukumu anaruhusiwa kupanga atakacho lakini chama hakiwezi kuacha kuendelea na taratibu zake eti kisa mahakama zimepewa maagizo ya kuwafunga.
 
Nafasi ya Katibu Mkuu inapaswa awe mtu ambaye si Mbunge maana Katibu Mkuu ni Mtendaji wa Chama Kioa siku.
Mh. Dr. Slaa alikiwa Katibu wa Chama zaidi ya miaka kumi akiwa Mbunge wa Babati. Hebu sema kuna kipindi CHADEMA waliimarika kuzidi kipindi hicho?
 
Si Mwenyekiti aliwaambia anawaletea KM makini ambaye ni Mashinji na mkatuambia mnahamia kwenye siasa za kisomi zaidi.

Kulikoni tena mara hii mnawataja watu kama Mnyika ambao wamegeuka bubu kutokana na upepo wa Mamvi?
 
Moja ya vichwa adimu sana kwenye siasa ya TZ...

Hivi kweli leo hii "Bar she tea" ni mtu wa maana kwenye siasa za uongozi kuliko Yohana!!!
Mnyika acha siasa tu ndugu yangu. Bora urudi kwenye utume uhubiri injili kupitia jukwaa la Karistimatiki Katoliki. Hakuna watu serious wa level zako zaidi ya maigizo.

Mungu akuongoze kwenye utume mpya atakaokuchagulia.
 
Mnyika acha siasa tu ndugu yangu. Bora urudi kwenye utume uhubiri injili kupitia jukwaa la Karistimatiki Katoliki. Hakuna watu serious wa level zako zaidi ya maigizo.

Mungu akuongoze kwenye utume mpya atakaokuchagulia.
Nimeelewa kuwa 'Molemo, ndie 'Mnyika' kutokana na andiko hili. Kama nimekosea naomba samahani.
 
Back
Top Bottom