Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Kweni wewe unataka kusema nini.Hautishwi, unajidanganya kwa kuyasema usiyoyajua na kuwaamini watu usiowafahamu hata kidogo!
Kweni wewe unataka kusema nini.
Hiyo ramli sasa, pandikizi alert inafanya kazi mpaka ccm povu linawatoka hahaa!!Subiri, muda utafika, utafahamu
Pole sana. Walofilisika hoja ñdio hukimbilia ukabila, udini, ukanda na dhana nyingine dhaifu za kibaguzi.... Ili kujihalalisha ..... Mwalimu Julius K NyerereHivi Mnyika ni Mchaga?
Mpaka sasa hakuna pàndikizi lililopita
hiyo nafasi haina maana kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti, aachie ngazi
Hahaa ramli hiyo nyalandu ni rafiki yangu wa karibu.Nyalandu?
Mwenyekiti wenu akiachia ngazi ndio Mbowe ataachia ngazihiyo nafasi haina maana kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti, aachie ngazi
Utakuja badili kauli na kumwita DiktetaMkuu, John Heche ndie anatosha hasa kwa aina hii ya Utawala uliopo.Mnyika ni mzuri lakini ni laini laini sana ,hiyo nafasi anatakiwa Mtu jasiri sana na mwenye msimamo thabiti.
Hahaa ramli hiyo nyalandu ni rafiki yangu wa karibu.
Nyalandu sio pandikizi na alishatupa kadi ya ccmYeye sio pandikizi?